Time Travel: Je, linaweza kuwa suluhisho la kifo?


ndo maana KIRANGA kila siku umu anasema icho mnachokiita kitabu kitakatifu quran ni kama hadithi za kipepe au ludilofa tu kwa maana kuna contraditions nyingi sana

siku mkifanikiwa kusolve hizo contradictions nyinyi kwa nyinyi basi KIRANGA atawaelewa lakin nyie wenyewe hamuelewani who is KIRANG mpaka hawaelewe ahahhahaha
 
Sawa mkuu.
 
Contradiction zipi? Sio Kwamba nyie ndio mnakitafutia contras ajili ya kujustify Ego zenu
 
Hapa ndio inakuja maana ya kwenye Biblia kwamba kwa Mungu siku Moja ni sawa na miaka elfu moja kwetu. Kumbe ni issue ya time travel
Mkuu usidanganyike na huo msemo eti kwa mungu siku elfu blah blah sio kweli hata kidogo
 
Mungu amesema sitashindana na Binadamu milele miaka yake itakuwa mia na ishirini maximum.Wewe Da'Vinci na wote wanaodhani mwanadamu anaweza kushindana na Mungu mnajidanganya.Mungu ameshasema mwanadamu atakufa na atakufa.That is sealed.

Unajua,hizi zote ni hila za Lucifer a.k.a the Devil or Satan kuonyesha kwamba aliyosema Mungu ni uongo.Mungu habadiliki, wala si mwanadamu hata aseme uwongo.Nia ya Shetani ni kupotosha na kugeuza imani ya Binadamu towards him.
Narudia tena kwa wale waliokuja JF kujifunza na kutafuta knowledge ya kweli,this is not true knowledge.Hizi ni hila ovu za wazi za Shetani za kutenganisha Wanadamu na Mungu wao.Msiamini this nonsense,it is pure heresy.
 
Time Travel ni ushetani mkuu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…