Simple dissagree ndio hua nakataa.. mimi napenda kama unabisha unakuja na fact mkuuSpiritual things na machines haziwez fanya kazi kwapamoja
Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
Wale physicist walio tengeneza meli ma maginetics field ili wasionekane kwenye ladaa ya maadui walikuwa hawajui kama wanatengeneza mfano wa time machine kilicho wakumba ni matatizo tu meli ilikuwa inshift places but within the sametime vichaa wakuyosha vifo wengine hawakurudi na vilema, time travels is something natural na sio artificialSimple dissagree ndio hua nakataa.. mimi napenda kama unabisha unakuja na fact mkuu
Hii kitu hata mimi niliwaza hivyo, kuna uwezekano Time Travel ipo ila kiroho zaidi, sina ujuzi sana wa mambo haya lakini nawaza huenda ikawa ipo hivyo na ndio maana huwezi kubadilisha tukio lolote zaidi utakuwa mtazamaji wa matukio yaliyotokea miaka hiyo.Wale physicist walio tengeneza meli ma maginetics field ili wasionekane kwenye ladaa ya maadui walikuwa hawajui kama wanatengeneza mfano wa time machine kilicho wakumba ni matatizo tu meli ilikuwa inshift places but within the sametime vichaa wakuyosha vifo wengine hawakurudi na vilema, time travels is something natural na sio artificial
Na mara nying wanarudig nyuma na sio kwenda mbeleHii kitu hata mimi niliwaza hivyo, kuna uwezekano Time Travel ipo ila kiroho zaidi, sina ujuzi sana wa mambo haya lakini nawaza huenda ikawa ipo hivyo na ndio maana huwezi kubadilisha tukio lolote zaidi utakuwa mtazamaji wa matukio yaliyotokea miaka hiyo.
Wale physicist walio tengeneza meli ma maginetics field ili wasionekane kwenye ladaa ya maadui walikuwa hawajui kama wanatengeneza mfano wa time machine kilicho wakumba ni matatizo tu meli ilikuwa inshift places but within the sametime vichaa wakuyosha vifo wengine hawakurudi na vilema, time travels is something natural na sio artificial
Sijui kwanini wenye taaluma hii wameshindwa kuifanya ya kisasa?mkuu kisa chako kimefanana na kilichomkuta na kaka angu mtoto wa mama mkubwa, yeye alienda kulala na kaka zake akapotea usiku huo. walitafuta kila kona ya nyumba walimkosa. majirani wamejaa alishaletwa hadi mtaalamu ndio akapatikana chini ya meza akiwa haongei yupo kama bubu.. yeye alisema alipelekwa ndani ya msufi!
Uchawi wa kiafrika ni teknolojia isiyo na manufaa kwetu ila wazungu kwao wanatumia kwa manufaa... Kwenye Intelligence,afya,ujenzi kote huko wao wana back up ya Magic ila sisi huku duuh. labda kulimishana
"why there are no tourists from the future?"Time travel fikiria km relocation through time, sio travelling km unatoka dar kwenda mwanza, ni physical relocation in time, au time and space, mfano sahv uko 2019 ila ikija kuwa possible kurelocate mwaka 1098 au 2020 unakuwa umesafiri through time na kuwepo physically ktk hiyo miaka na muda huo, so still theoretically not possible ila ikija kufanikishwa itaruhusu objects na individuals kufanya hayo,
Yaani hadi hao Kardashians nawafuatilia. Hamna nisichofuatilia.Umetishaa sana aisee, big up to you... Wadada zetu wanafatiliaga Kyle jenner/Kardashians wakati na uwigo mkubwa sana of very interesting subjects..
Kuna series inaitwa Bing Bang theory napenda wana yo discuss hizi concepts in a very scientific way
Are you sure?"why there are no tourists from the future?"
Mimi hapa ni tourist from the future.."why there are no tourists from the future?"
How about the future????????According to Einsteins Relativity, one needs to travel faster than the speed of light in a vacuum to go back in time.
But even for an infinitesimally small subatomic particle, the speed of light is the speed limit of this universe.
As something approaches the speed of light, no matter how small its mass, the energy it needs to move it furtheqr approaches infinity.
So, in order to transport even the smallest imaginable mass back in time, one will need infinite energy
That is why, according to Einstein's Relativity, time travel to the past is not possible.
Time travel to the future is possible.How about the future????????
hkl wanapata tabu sana kwenye hizi mada zako
Quantum mechanicsKwanini mdogo wangu Happy??????