Mkuu japo ungetoa sifa za mtu anayetaka kujiunga aweje, criteria. Kwa jinsi ulivyoandika Ina maana kila mtu anayetaka wewe utampa admission, is it?Kwa wanaotaka kusoma India katika czi tofauti kama zilivyotajwa hapo juu tuwasiliane. Nitakutasaidia admission process zote kwa chuo utakacho chagua. Ni PM.