Kupata nafasi kusoma masters ya computer science

princeNathan

Senior Member
Apr 5, 2023
172
337
Rejea kichwa cha habari hapo juu niliweza kupewa ushauri juu ya kusoma bsc in mechanical injinia lakin wana jamii forum mlinishaur vyema bora nijirndeleze elim ya juu zaid kwa msada zaidi nimepat chuo nje ya nchi kujiendeleza zaid je kwa ushaur elimu ya nchini india kwa Msc-in compter science ikoje vitu gani natakiwa niwe navyo na msuli wake upoje ........... na maisha yake kiujumla nikiwa uko msaada wakuu
 
nilikua namaanisha "fist supporter" kuhusu mada yako nilikua interested

Nashukur kaka ila kuna watu wananikatisha tamaa wanasem unasoma ili iweje changamoto kubwa sana kwamba napoteza muda
 
Nashukur kaka ila kuna watu wananikatisha tamaa wanasem unasoma ili iweje changamoto kubwa sana kwamba napoteza muda
usijali, wewe kama unapenda unachokisomea unakiweza basi usijal, hyo kozi ni nzur
 
Back
Top Bottom