Time for Dar City to shine

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,789
288,013
Thursday October 08, 2009 Local News'Time for Dar City to shine', says Lukuvi

THE Dar es Salaam Regional Commissioner, Mr William Lukuvi, has called upon the City Fathers to institute legal measures against persons found littering the city streets.

He said it has been the habit of some city residents to litter the city with empty plastic bottles without being punished. He said it was time the municipal authorities applied the by laws laid down against such unbecoming behaviour.

He further said that at the moment, people litter everywhere -- "on the beach and from vehicles."

He said the stench of a city littered with garbage and human waste would suffocate residents and endanger the environment leading to the risk of catching cholera and dysentery, he said.

The problem of littering the city was endemic. However, he was quick to add that it was basically a problem of the people's attitude of the mind.

"Although we have garbage skips everywhere in city to arrest the situation, our people even after sensitisation, dump rubbish and human waste outside the skips and street alleys," he says.

He said the councils had installed garbage skips. "We hope this will help us realise our dream to make this Dar es Salaam shine," he said.

He had promised to work on the appalling situation in order to make Dar es Salaam city free from garbage.

Citing an example, he said in other tows such as Moshi, throwing litters carelessly was an offence and defaulters were liable to pay fines.

"Moshi is a very clean town, in fact much better than any other city in the country and the only thing that had made it to maintain cleanliness standards was the people's attitudes towards 'keeping Moshi clean', he empazised.

He said there were enough rubbish tins on the streets of Moshi town where by people deposited the waste whenever they wanted to empty their bottles.

But matters were totally different in Dar es Salaam City, he lamented, adding although there were a number of rubbish pits, people rarely used them no matter how close they might be to them.

Kelele nyingi hana lolote another failure Lukuvi=Makamba sijui kwanini walimtoa yule Abbas alianza kuiweza Dar! kikwete sometimes ni borer
 
Honestly, my opinion here is that, he should be taken to task for letting Dar city deteriorate to such extent before his eyes. Where has he been all this time, the situation is almost beyond repair... Him and the mayor have been irresponsible far too long. Tabia za watu zinabadilika na hubadilishwa. Samaki mkunje angali mbichi. Jamani what exactly has been their duty all this time?!
 
Ukiwaambia Dar inanuka kutokana na uchafu uliokithiri watakujia juu. Sijui kwanini hawaendi kujifunza kwa wenzao wa Moshi jinsi wanavyouweka mji wao katika usafi wa hali ya juu
 
Ukiwaambia Dar inanuka kutokana na uchafu uliokithiri watakujia juu. Sijui kwanini hawaendi kujifunza kwa wenzao wa Moshi jinsi wanavyouweka mji wao katika usafi wa hali ya juu

Hulka ya uchafu imetawala DSM.... na ukijaribu kukemea uchafu unabezwa!
Moshi wenyeji wanajali usafi hadi vijijini kwako hivyo mjini ukileta za kuleta utakiona cha mtemakuni.
 
Hulka ya uchafu imetawala DSM.... na ukijaribu kukemea uchafu unabezwa!
Moshi wenyeji wanajali usafi hadi vijijini kwako hivyo mjini ukileta za kuleta utakiona cha mtemakuni.

Mrema alipokuwa mambo ya ndani aliuvalia njuga uchafu wa Dar na kukawa na mafanikio makubwa hata soko la Kariakoo ambalo ilikuwa ni kinyaa kwa wakazi wengi wa jiji kwenda kufanya manunuzi yao ya mahitaji muhimu pale lilianza kupendeza tena kwa usafi, lakini haukudumu usafi huo. Labda sasa kuwa na faini na anayekiuka sheria za kuliweka jiji katika hali ya usafi basi cha moto akione...siyo kuwaacha watu wanafanya wanavyotaka kama jiji halina mwenyewe.
 
Ukiwaambia Dar inanuka kutokana na uchafu uliokithiri watakujia juu. Sijui kwanini hawaendi kujifunza kwa wenzao wa Moshi jinsi wanavyouweka mji wao katika usafi wa hali ya juu

Wao ni watu wa mjini, misheni town kwa sana, they know it all.... and so do they seek gratification in themselves. Dar is a stinky city, period. Na hili swala limesababishwa na uzembe juu ya uzembe wa hawa ma-city fathers!

Wasafisha mabarabara wanasafisha na kuondoa mchanga barabarani lakini mchanga huo na uchafu unaachwa kandokando. Wiki, miezi inapita. Kama kungelikuwa na viongozi wachapakazi wa kweli si wangelikuwa wanakagua palipofanyiwa kazi. Hakuna, hawafanyi hivi. Hivyo uchafu unazidi kulundikana, mitaro inaziba, jiji linazidi kunuka, na wao wanapanda ma VX na kuingia kuwasha viyoyozi!! Tunaviongozi wa jiji kweli ndugu yangu?!

Pale wajuu asipowajibika na kuhimiza yule wa chini, ni vigumu sana katika system yenye population kubwa kukuta mabadiliko yakianzia chini. Inawezekana kwa baadhi ya mambo. Ila kuna mengine bottom-up approach to changes ni ngumu ku-take place as opposed to top-down. You see, now the blame is on residents and their behaviour... who wouldn't have seen this coming!!
 
Back
Top Bottom