Time for change is now. Asante Komredi Lowassa

Democracy999

JF-Expert Member
May 26, 2012
945
189
Change, Change Change!
Ndoto ya Kikwete kuongoza maisha mara hii akitumia jina la MAGUFULI.

Ndio maana atamnadi kwa kutumia akiba yote ya hazina ya Wananchi, kwa mfano kuwanunua kwa Mabilioni wapinzani wahamie CCM, kununua Wasanii wenye njaa kali na pia kuwavimbisha kwa pesa baadhi ya Viongozi wa CCM waliokata tamaa na ccm iliyooza.

Magufuli akimaliza ni zamu ya Ridhiwani.
 
Change, Change Change!
Ndoto ya Kikwete kuongoza maisha mara hii akitumia jina la MAGUFULI.
Ndio maana atamnadi kwa kutumia akiba yote ya hazina ya Wananchi, kwa mfano kuwanunua kwa Mabilioni wapinzani wahamie ccm, kununua Wasanii wenye njaa kali na pia kuwavimbisha kwa pesa baadhi ya Viongozi wa CCM waliokata tamaa na ccm iliyooza.

Mkuu katika wajinga wewe ni namba moja,

Hivi Lowasa alivyo mwizi na fisadi unadiriki kumtaja kwa mema zee jizi na fisadi lile,

Lowasa alitaka kuuwa ccm kwa wizi na ufisadi wake na kujenga mtandao wake kwenye chama eti leo nawewe unakuja hapa mdomo mrefu kama chupa umsfisiwe Lowasa we kiazi kweli mkuu.
 
Change, Change Change!
Ndoto ya Kikwete kuongoza maisha mara hii akitumia jina la MAGUFULI.
Ndio maana atamnadi kwa kutumia akiba yote ya hazina ya Wananchi, kwa mfano kuwanunua kwa Mabilioni wapinzani wahamie ccm, kununua Wasanii wenye njaa kali na pia kuwavimbisha kwa pesa baadhi ya Viongozi wa CCM waliokata tamaa na ccm iliyooza.
Magufuli akimaliza ni zamu ya Ridhiwani.

Tumia akili kufikiri na siyo masabauri hayo siyo maamuzi magumu bali ni maamuzi ya kipumbafu na kinafiki sumaye aliwezaje kuitumikia serikali akiwa waziri mkuu kwa miaaka kumi wakati mabaya yote ya CCM anayoitukanaa leo maamuzi yake alishiriki? Leo hii anapata wapi ujasiri wa kutuambia mabaya juu ya CCM wakati kwa miaka kumi alikuwa akifurahia ukuu aliopewa kwa kuhangaika kulipa visasi kwa baadhi ya watu aliowachukia akiwemo mtu mdogo afisa mifugo mkoa wa Dodoma wa wakati huo? Na juzi nimemsikia anadai eti CCM hawajui umuhimu wake alitaka afanyiwe nini kama waziri mkuu mstaafu tofauti na wenzake kama MSUYA, DR SALIMU MALECELA NA WARIOBA? Kwa kujona yeye ni bora kuliko wengine anaahidi kisasi kwa Kikwete, maana kwa nafasi yake akisema chama kilichompa ukubwa ni kibaya maana yake anamsema moja kwa moja mwenyekiti wa chama hicho hakuna mkubwa kuliko huyo.
kwa roho yake hiyo ya kisasi nawashangaa watu wanaochekelea ujio wa EL na FS upinzani kwakuwa wamekuja kuungamiza upinzani badala ya kuuimarisha ni nani mwenye akili timamu atakaye waamini malimbukeni hawa wanaohangaika kutafuta madaraka kwa nguvu?

Ukanda walioupanga kwa kujidanganya kuwa watatawala nchi hii kwa ujinga wao wa kikabila na ukanda imekula kwao. Hivi hata kama una matope kichwani kama ulivyo wewe Sumaye atakuambia nini juu ya CCM na umuamini, rushwa anayoisema alishindwa nini kuizuia kwa miaka kumi ya uwaziri mkuu wake leo hii akuaminishe anayosema umuamini? Msikurupuke tu kushabikia ujinga na tamaa ya madaraka kwa kudanganywa na mtu ambaye hata wilayani kwake alishindwa kuchaguliwa kuwa mjumbe wa halmashauri kuu ya chama chake hivi wewe unamfahamu SUMAYE kuliko Mzee Mkapa aliyemuita Mpumbavu? Jiulize hata kwenye dini mtu anabatizwa leo na leo hiii unampa uaskofu hiyo dini kaisoma lini na kuielewa misingi yake? Leo hii mtu kaslimu na tayari unampa uimamu je madrasa kasoma lini haiwezekani EDWARD NA FREDY WAINGIE CHADEMA LEO NA WAGOMBEE URAIS CHADEMA WALIIJUA LINI KATIBA YAKE NA SERA ZAKE? NDIYO MAANA MIMI nitachagua CCM kwakuwa EL NA FS wameenda na sera za ccm ndiyo wanazotumia na siyo za cdma lakini hata hivyo kwa nini top officers wote wa ukawa ni north zone ina maana watz wengine hawana sifa za kuwa wakuu wa ukawa mpaka north tu?

Mwenye akili atajua nini kilichoko nyuma ya pazia lakini wajinga mtaendelea kushabikia na kupandiwa ngazi ili kufanikisha malengo ya ukanda wa kaskazini kwa kudanganywa eti mnakombolewa hivi unakombolewa toka wapi huyo anayedai kukukomboa alishindwa nini kukukomboa kwa miaka kumi alikuwa waziri mkuu? Yale mashamba ekari miatano alizowadhululmu maskini wa Morogoro kwa kutumia nafasi yake ya uwaziri mkuu ndiyo ukombozi anaotuhadaa kutukomboa? Yeye na genge lao wapotelee mbali na ikulu hawataingia labda waingie kwa nguvu lakini si kwa ridha ya watanzania weye akili timamu
 
Kwanza kabisa cheo cha Comrade au Komredi ni ya CCM kwani asili yake ni ya kijamaa. Comrade ni Ndugu. Hata ndani ya CCM wamebaki Komredi wachache sana kama Mangula na zamani Kingunge.
Lowassa siyo Komredi ye ni mbepari. Na si ndiyo mnafurahia utajiri wake mnasema eti hamtaki rais maskini? Mmesema hata ka fisadi mnataka change? Sasa ukomredi wa nini?
Huyu fisadi papa ndo atatuletea mabadiliko? Joke of the day!
 
Tumia akili kufikiri na siyo masabauri hayo siyo maamuzi magumu bali ni maamuzi ya kipumbafu na kinafiki sumaye aliwezaje kuitumikia serikali akiwa waziri mkuu kwa miaaka kumi wakati mabaya yote ya CCM anayoitukanaa leo maamuzi yake alishiriki? Leo hii anapata wapi ujasiri wa kutuambia mabaya juu ya CCM wakati kwa miaka kumi alikuwa akifurahia ukuu aliopewa kwa kuhangaika kulipa visasi kwa baadhi ya watu aliowachukia akiwemo mtu mdogo afisa mifugo mkoa wa Dodoma wa wakati huo? Na juzi nimemsikia anadai eti CCM hawajui umuhimu wake alitaka afanyiwe nini kama waziri mkuu mstaafu tofauti na wenzake kama MSUYA, DR SALIMU MALECELA NA WARIOBA? Kwa kujona yeye ni bora kuliko wengine anaahidi kisasi kwa Kikwete, maana kwa nafasi yake akisema chama kilichompa ukubwa ni kibaya maana yake anamsema moja kwa moja mwenyekiti wa chama hicho hakuna mkubwa kuliko huyo.
kwa roho yake hiyo ya kisasi nawashangaa watu wanaochekelea ujio wa EL na FS upinzani kwakuwa wamekuja kuungamiza upinzani badala ya kuuimarisha ni nani mwenye akili timamu atakaye waamini malimbukeni hawa wanaohangaika kutafuta madaraka kwa nguvu?

Ukanda walioupanga kwa kujidanganya kuwa watatawala nchi hii kwa ujinga wao wa kikabila na ukanda imekula kwao. Hivi hata kama una matope kichwani kama ulivyo wewe Sumaye atakuambia nini juu ya CCM na umuamini, rushwa anayoisema alishindwa nini kuizuia kwa miaka kumi ya uwaziri mkuu wake leo hii akuaminishe anayosema umuamini? Msikurupuke tu kushabikia ujinga na tamaa ya madaraka kwa kudanganywa na mtu ambaye hata wilayani kwake alishindwa kuchaguliwa kuwa mjumbe wa halmashauri kuu ya chama chake hivi wewe unamfahamu SUMAYE kuliko Mzee Mkapa aliyemuita Mpumbavu? Jiulize hata kwenye dini mtu anabatizwa leo na leo hiii unampa uaskofu hiyo dini kaisoma lini na kuielewa misingi yake? Leo hii mtu kaslimu na tayari unampa uimamu je madrasa kasoma lini haiwezekani EDWARD NA FREDY WAINGIE CHADEMA LEO NA WAGOMBEE URAIS CHADEMA WALIIJUA LINI KATIBA YAKE NA SERA ZAKE? NDIYO MAANA MIMI nitachagua CCM kwakuwa EL NA FS wameenda na sera za ccm ndiyo wanazotumia na siyo za cdma lakini hata hivyo kwa nini top officers wote wa ukawa ni north zone ina maana watz wengine hawana sifa za kuwa wakuu wa ukawa mpaka north tu?

Mwenye akili atajua nini kilichoko nyuma ya pazia lakini wajinga mtaendelea kushabikia na kupandiwa ngazi ili kufanikisha malengo ya ukanda wa kaskazini kwa kudanganywa eti mnakombolewa hivi unakombolewa toka wapi huyo anayedai kukukomboa alishindwa nini kukukomboa kwa miaka kumi alikuwa waziri mkuu? Yale mashamba ekari miatano alizowadhululmu maskini wa Morogoro kwa kutumia nafasi yake ya uwaziri mkuu ndiyo ukombozi anaotuhadaa kutukomboa? Yeye na genge lao wapotelee mbali na ikulu hawataingia labda waingie kwa nguvu lakini si kwa ridha ya watanzania weye akili timamu
ni kawaida ya ccm kuwagawa watanzania kwa misingi ya dini na makabila yao na pia maeneo yao kila wakati wa uchaguzi ili waweze kushinda uchaguzi. sisi tupo huku kusini ni lowasa tu hatudanganyiki kamwe.
 
Ataanaeludi nyuma anandoto za kufika so dat sikushangai ewe ambae unadanganya na kutiwa moyo na maneno aya" MSHIKAMANO NINYI KWA NINYI, UPENDO KATI YENU NA AMANI KATIKA NCHI YENU" wakat wao ccm wana shikamana na pesa,wanaupendo ktk kumiliki na kuiba mabilioni, na amani ktk maisha yao na watoto na wake zao, kwenu unaweza ata ukakosa ata uji alafu wao mboga wananunua milioni 40 hivi hiyo ni mboga gani? Nilikua nadhani makufuli atakua na akili kidogo sasa kumbe na lofa na chiz yan yeye niwakuwaahidi walimu laptop!!? Badala ya miundombinu bora ya elimu na ongezeko la mishaara!
 
Kweli ww umeishiwa na uache kupanic. CCM mmezoe kuhubiri utengamano badala ya umoja wa nchi pale mnapokuwa mmezidiwa chezeni ngoma yenu ya ubaguzi ooh ukanda ila mjue kibo kiko palepale na hamna jipya safari hii wananchi tumewacho lazima tuwatoe tu madarakani tumezichoka dharau zenu CCM,
 
Ukanda kaibua Sumaye juzi! Kabwabwaja hovyo akitilua mkazo eti "it just happens watu wengi wa Ukawa ni wa Kaskazini"
Huyu ex PM ni hovyo na kawaletea kirusi kibaya!
 
Mabadiliko yakweli yataletwa na Magufuli...Lowassa ni muendelezo wa serikali ya JK.
Chagua magufuli. ccm mpya, tanzania mpya
 
Back
Top Bottom