Straight corner
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 385
- 132
Mkuu sasa chanzo cha vifo vinavyotangazwa ni nini, au ni uzushi tu?mbona cjaona doso hapo,mbona kama vile wako harusini tu,yaani hakuna kazi wanayokula hapo
Najua utakuwa umesikia malalamiko sii mtaani wala humu JF tu bali pia katika vyombo vya habari! Unahisi chanzo cha malalamiko ni nini mkuu?Mbona kawaida sana.
Mkuu pamoja na hili nafikiri kuna umuhimu wa kushauri vijana wetu kuachana na vyakula kama chipsi maana madogo siku hizi ni nyolonyolo mon!Acheni tupate walinzi. Watoto wakiume wanavaa milegezo utadhani viuno havina mifupa!! Juzi Kagame kaomba POO baada ya kuona harakati hizi za ulinzi nyumba hadi nyumba. Na mm nasubiri ya huku Kitaa.
Mkuu sasa chanzo cha vifo vinavyotangazwa ni nini, au ni uzushi tu?
Mkuu OLESAIDIMU nakubaliana na mafunzo haya ila nina wasiwasi wa wakufunzi na wanafunzi. Wakufunzi wa zamani naamini wengi walikuwa na wito na maadili ya jeshi ila wengi wa siku hizi wanajiunga na jeshi kama sehemu tu ya ajira/kujikimu maisha, huku wanafunzi wengi hawakupokea na kuji'tune kwa mafunzo haya. Pia vyakula walavyo wattoto wa siku hizi haviwafanyi kuwa wakakamavu bali legevu!
Umesema mambo ya msingi sana lakini sii kwa hii nchi inayohitaji overhaul!!! Labda upewe wewe tender ya kusimamia hili na sijui utaifanya hii kazi mwenyewe au itakuwaje! Hiyo No. 1 tu ukiwa na Tsh 2,000/= unamtuma yeyote anapeleka hiyo form hospitali inajazwa bila sura ya mwanafunzi kuonekana! Samahani kwa kusema haya ila ndiyo ukweli!!Cha maana ni kuhakikisha afya zao tu! !!
Mfano;
1. Thorough medical exam wakati wa kujiunga form five
2. Physical Education irudishwe A-level (Stamina, pumzi,utamaduni wa mazoezi, pre-endurance and psycho prep)
3. Medical exam before final form six exams (control med. Exam)
4. Thorough check DURING admission at the camp.
Diet na mengineyo hayo ni masuala ya kitaifa wala sio form six to maofisini vijana wanatweta ngazi tu kupanda!!!!
Hata wajifanyao majasiri kama wewe wanatolewaga posa tu.Mleta mada ni mwoga sana kama ni kijana wa kiume basi wazazi wasubirie posa!
Kwanza siyo Vifo ni kifo,pili walikwisha sema aliyefariki alikuwa na matatizo ya upungufu wa damu kitu ambacho hata wazazi wake wali kiri tatizo hilo!Mkuu sasa chanzo cha vifo vinavyotangazwa ni nini, au ni uzushi tu?
Imetangazwa kila kifo na sababu yake. Ni changamoto tu mkuu kila inayokuja itapatiwa ufumbuzi ila amini hii ni njia nzuri ya kuweka nchi katika hali nzuri sana!!!!
Maboresho madogo tu then all will be fine!!!!!
Vibaka na washenzi wooote watakimbia, mateja watapungua sana maana kila mtu atakuwa sawa yaani kila nyumba atakuwepo MTU! !!!
Changamoto ya ajira ikipatiwa ufumbuzi tu baas tambarare
Umesema mambo ya msingi sana lakini sii kwa hii nchi inayohitaji overhaul!!! Labda upewe wewe tender ya kusimamia hili na sijui utaifanya hii kazi mwenyewe au itakuwaje! Hiyo No. 1 tu ukiwa na Tsh 2,000/= unamtuma yeyote anapeleka hiyo form hospitali inajazwa bila sura ya mwanafunzi kuonekana! Samahani kwa kusema haya ila ndiyo ukweli!!