Timbuktu

Kumbesa

Senior Member
Joined
Dec 29, 2011
Posts
113
Reaction score
22
A Malian soldier trys to disperse looters in the streets of Timbuktu






×
 
Waafrika bwana, tuna laana, ona tulivyo! Waafrika wenzangu jamani.
 
Reactions: PhD
Jamaa kifuani ameininig'iniza AK47 au macho yangu tuu?
 
Reactions: PhD
heri yeye antumia fimba. tena ya kijiti.
 
Tz tuna vitu vya chuma vinavyoruka eti, chezea Uncle Sele ww!
 
ananyoosha mstari...cheki waafrika tulivyochoka
 
Mkuu Mali ni miongoni mwa nchi ambazo raia wao wamechoka sana. Sina hakika ya per capita yao na resource distribution kwenye nchi yao, lakini nilikutana na watu hao kwenye ndege moja Tunisia, mbona nilichoka mwenyewe. Sina hakika kama waafrika tumelaaniwa, au kuna namna ambavyo viongozi wetu wametufanya kujiona watu wasio na thamani. Kiukweli wamali wamechoka.
ananyoosha mstari...cheki waafrika tulivyochoka
 
Nakumbuka kitambo kidogo hiyo miji..Timbuktu,Gao,Walata,Jene..nk.
 

Kuchoka kwa wanavyoonekana? Mbona nasi ni hivyo hivyo tu? Au naona vibaya?
 
Dina, ndo maana mtu mmoja hapa amesema hajui kama ni laana or what? But then how do we break the curse? Jamaa wanapigana,wanamsubiri Mfarasa aje kumtetea shemeji yake! Wapi na wapi? Kwa nini hatujifunzi kulinda nchi zetu na kuitetea amani kwa gharama zozote? Africa is the only continent where kila mtu anadhani anaweza kuwa rais! Anaweza kuongoza hata kama ni kwa nguvu za SANGOMA!
Kuchoka kwa wanavyoonekana? Mbona nasi ni hivyo hivyo tu? Au naona vibaya?
 
A Malian soldier trys to disperse looters in the streets of Timbuktu






×
Huu ni mmojawapo wa miji ya kwanza africa kuendelea chini ya karne ya 12, lakini sasa hivi hali ndiyo hiyo.
 

Hili nalo neno mkuu.

Ila sina uhakika kama ni mifumo yetu wenyewe tuliyojiwekea ndio inatugeuka baadaye au vipi? Je, siyo kwamba tunalea matatizo mpaka yakuwa makubwa kiasi cha sisi wenyewe tena kushindwa kuyamudu? Viongozi wetu wenyewe nao ni tatizo, japo tena tunajikuta wachawi ni sisi wenyewe coz si tunawachagua wenyewe na wanarudi na taarifa kuwa wameshinda kwa 'kishindo' kama sio 'kimbunga'?
 

Binafsi nashangaa mbona hawa watu wanaonekana maskini sana??nyuso zao zinaonyesha hawana matumaini ya maisha kabisa.but nchi zote zenye misukosuko ya hawa wanajeshi wakiislam wenye siasa kali wanamaisha magumu kweli sijui sababu nini.
 
.....kuna amani hapo mahali maana wana nyuso za tabasamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…