He jamani, hii ni ya wapi tena?
OMG. its my first to hear this!
Imeandikw\a wapi hii MkamaP?
Mkuu PakaJ
Ukitaka kuona uasherati/uzinzi ni tofauti. Nanukuu wakoritho 1 6:9-10
" Au hamjui wadhalimu hawataurithi ufalme wa wa Mungu? Msidaganyike; waasherati hawataulithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi ,wala wafiraji, wala walawiti, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi".
Sasa swali mkuu kwa nini uasherati na uzinzi utajwe mara mbili kama ni kitu kilekile? Hakika uasherati na uzinzi si kitu kimoja ni vitu viwili tofauti ila tendo linalofanyika linafanana.
kwamba!Maskini Fidel...
kwamba!

Sawa.Tofauti kati ya UASHERATI NA UZINZI ni hivi:
UASHERATI ni kufanya tendo la ndoa kwa watu wasioolewa au kuoa.
UZINZI ni kufanya tendo la ndoa NJE YA NDOA kwa watu waliooa na kuolewa!
ELEWA HIVYO MKAMAP na usitunge maana zako!
Big up Injinia, naona huyu Masanja amepotoka kidogo. Huyu Mama Machel alikuwa mjane katika umri mdogo, na lazima maisha yaendelee na si vibaya kwake kuolewa na anayempenda. Kumbuka Mama Jacquline Keneddy, katika umri wake mdogo, baada ya kufa mmewe alikuja olewa na Onasis. Kwa watu wazima kama Mama Nyerere tukisikia wameolewa tena ndipo twaweza hoji, huyu bibi vipi. Lakini kwa vijana wanaopoteza wenzi wao kwa mapenzi ya Mungu, acha wawe huru kuolewa maisha yaendelee. Masanja, badili mtazamo ndugu yangu, hii ni karne ya 21.
Tofauti kati ya UASHERATI NA UZINZI ni hivi:
UASHERATI ni kufanya tendo la ndoa kwa watu wasioolewa au kuoa.
UZINZI ni kufanya tendo la ndoa NJE YA NDOA kwa watu waliooa na kuolewa!
ELEWA HIVYO MKAMAP na usitunge maana zako!
Tofauti kati ya UASHERATI NA UZINZI ni hivi:
UASHERATI ni kufanya tendo la ndoa kwa watu wasioolewa au kuoa.
UZINZI ni kufanya tendo la ndoa NJE YA NDOA kwa watu waliooa na kuolewa!
ELEWA HIVYO MKAMAP na usitunge maana zako!
Nafikiri si kweli
Nenda kasome tena vifungu vinasema mtu asipomwacha mke wake kwa uzinzi na kaenda kuoa mwanamke mwingine mtu huyu anafanya uashareti.
Kwa maana hiyo huyu mtu tayari alikuwa na mke na kaenda kwa mwingine anafanya uashareti na si uzinzi. defination yako inakuwa imeshakataa moja kwa moja.
NEnda kaulizie watu wanaojuwa kilatini na kigiriki, hakika watakwambia ninayokuambia.
Ukimwacha mke wako kwa talaka kwa sababu nyingine tofauti na uzinzi ukaenda kuoa mke mwingine unafanya uasherati. Ingawa utakuwa umefunga ndoa ya pili kisheria kwa Mungu haitambuliki na utakuwa kama mtu ambaye hajaoa anayefanya tendo la ndoa.
hii ni tafasiri sawa kabisatofauti kati ya uasherati na uzinzi ni hivi:
uasherati ni kufanya tendo la ndoa kwa watu wasioolewa au kuoa.
uzinzi ni kufanya tendo la ndoa nje ya ndoa kwa watu waliooa na kuolewa!
elewa hivyo mkamap na usitunge maana zako!
hii ni tafasiri sawa kabisa
I like the couple especially.... Comr. Machel (RIP). Lakini sioni kwa nini swala la kuolewa mara mbili kwa huyu mama liwe big deal. I wouldnt encourage it to anybody either.
Unajua at times I wonder na hawa wasomi wetu na activist wetu wa human rights. Mama MACHEL HAPA ANAPONGEZWA ETI ALIKUWA FIRST LADY WA NCHI MBILI. Yet, tuko mstari wa mbele kupinga/discourage akina mama/baba kuolewa/kuoa mara ya pili. In otherwords, we encourage them to stay put and take care/support their families. Au huyu kwa vile aliolewa na ma-rais ndo inabidi awe treated kwa different standards? Angekuwa shangazi yangu wa kijijini I am sure..wa human rights tungekuwa mstari wa mbele..kulaumu uvunjaji wa haki za binadamu....Talk of double standards!
Na tusitake kudanganya hapa. Mandela kumuoa huyu mama hawezi kutwambia eti morally alikuwa above repproach! Huyu mzee, namzimia sana for the struggle of African`s dignity, lakini kitendo cha kumdump mke wake aliyemvumilia miaka yote hiyo gerezani...sioni kwamba ni mfano wa kuigwa. After all, Mandela is just a mortal man..so I cant fault him. Only napinga kuona watu wanataka kutuaminisha kwamba Graca Machel kuolewa na Mandela was something extra ordinary. I would rather say..ilikuwa ni..typical waafrika tulivyo......Heard of Zuma and his wives?
We got a long way to convince the skeptics about these human rights business and equality.
Mkama P ,naomba kutofautiana nawe.Si kweli kuwa uzinzi ni ngono kati ya watu wenye uhusiano wa damu.
neno uzinzi katika kigriki cha awali kilichotumika kuandika biblia ni PORNEIA.Nomino hii PORNEIA ambayo inatafsiriwa UZINZI ina maana pana ikitia ndani Ngono nje ya ndoa,oral sex,anal sex{na hii ni hata kwa wanandoa},ngono na wanyama,hata kupiga punyeto.
Ninawakilisha.I STAND TO BE CORRECTED