Tiketi kwenye daladala | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tiketi kwenye daladala

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by SI unit, Mar 2, 2012.

 1. S

  SI unit JF-Expert Member

  #1
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,938
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Wadau wa JF, naamini wengi wetu ni watumiaji au tulishatumia usafiri wa uma al'maarufu kama daladala. Kama taratibu za usafiri huu zilivyo, ukishalipa nauli shart upewe tiketi. Naamini pia wengi huwa tunapitisha macho kwenye hizo tiketi kusoma mawili matatu yaliyomo. Kuna mesej mbalimbali..
  1. Swali/sali kabla hujaswaliwa/hujasaliwa
  2. Heshimu kazi yangu
  3. Familia bora ni ile ambayo yumo yatima
  4. Acha unyanyapaa
  5. Kazi na sala/swala
  6. Tushukuru kwa kila jambo
  7....n.k.
  Wewe ulishawahi kusoma ujumbe gani au huwa unapotezea.
   
 2. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #2
  Mar 2, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Acha ngono zembe
   
 3. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #3
  Mar 2, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,914
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 160
  Mwanaume hasifiwi kula...
   
 4. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #4
  Mar 2, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kila goti litapigwa kwa yesu.......

  In god we trust................

  If you can read this you are too near...............
   
 5. S

  SI unit JF-Expert Member

  #5
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,938
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  UKIMWI hauna daw, UKIMWI unaua
   
 6. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #6
  Mar 2, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 12,857
  Likes Received: 4,531
  Trophy Points: 280
  1. Tunza mazingira
  2. Weka jiji lako safi
  3. Kubali mambo yote Loliondo
  4. Sala na kazi au Kazi na sala
  5. With God everything is possible
  6. Urithi wa mtoto ni elimu
  7. Hatuhusiki na upotevu wa mali ndani ya gari
  8. Kauli njema ibada
  9. Yeremia 33.3
  10. Karibu tena
  11. Husiogope kazi
  12. Mpaji Mungu
  13. Allah Karim
  14. Hacha dhambi hukumu ipo


  Nina collection ya tiketi za vyombo vyote vya usafiri ambavyo nilishawahi kupanda.
   
 7. S

  SI unit JF-Expert Member

  #7
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,938
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Mkuu umetisha!
   
 8. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #8
  Mar 2, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 12,857
  Likes Received: 4,531
  Trophy Points: 280
  Hiyo ni trailer tu. Nikiweka movie kamili nitajaza thread nzima!
   
 9. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #9
  Mar 2, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  Sasa hivi hakunaga daladala bana kuna city bus.
  Kwanza now nauli ni sh 300 na siyo daladala tena.

  Au bado tunakasumba ya kuita dawa ya meno cologate hata kama ni kampun nyingine??

  Au morogoro rod au nyerere rod wakati rod manaake barabara.
   
 10. S

  SI unit JF-Expert Member

  #10
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,938
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Au una "kijiwe" cha kuprint tiketi nini
   
 11. S

  SI unit JF-Expert Member

  #11
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,938
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Daladala au vipanya? Ok, badala ya city bus tuite mabasi ya jiji coz city bus ni ki'ingilish
   
 12. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #12
  Mar 2, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ngoja,naenda kupanda kesho asubuhi halafu nitakuja na jibu.
   
 13. S

  SI unit JF-Expert Member

  #13
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,938
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Nahisi utapewa tiketi iliyoandikwa "karibu tena"
   
 14. ney kush

  ney kush JF-Expert Member

  #14
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 1,195
  Likes Received: 377
  Trophy Points: 180
  Me nakumbuka nililopanda leo limeandikwa.. TUSHUKURU KWA YOTE
   
 15. Jaslaws

  Jaslaws JF-Expert Member

  #15
  Mar 2, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 5,125
  Likes Received: 2,186
  Trophy Points: 280
  Kariakoo _mbagala 450 mwanafunzi 150.
   
 16. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #16
  Mar 3, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  okey...ishu inabakia tiket...
  changia basi
   
 17. M

  Mmwaminifu JF-Expert Member

  #17
  Mar 3, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 1,096
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  "Ngono sio ubwabwa"
   
 18. R

  Rev Fr KABOKA mchizi Member

  #18
  Mar 3, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Urithi wa mtoto ni elimu, abiria chunga mzigo wako, ombeni mtapewa, asiyefanya kazi na asile, chungu lakini dawa!
   
 19. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #19
  Mar 4, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Kamjingi jingi.
  MP.
   
 20. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #20
  Mar 4, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Nasubiria thread ya tickets za ndege ndio nichangie. Lol.
   
Loading...