Tigo yaweka rehani usalama wa wateja wake

TCRA wako wapi na wanafanya nini?
<br />
<br />
Ndugu,swali hili ulipaswa uulize wakati ule wa kampeni za uchaguzi ambapo CCM walikuwa wakituma sms za kejeli kwa CHADEMA na CHADEMA nao walituma sms za kejeli kwa CCM. Sms zilikuwa hazina center number. Nasikia alijulikana aliyekuwa akhwafanyia kazi hiyo lakini mpaka leo hakuna kilicho endelea!. Tume legelege huzaa..........
 
&lt;
UNAJUA MIMI BINAFSI NINA HACRA SANA NA WATU AMBAO KIMAKSUDI WANAUNGA MKONO MAGAMBA SS KWA SABABU NI NTU AMBAYE ANAONESHA KAMA KUTUANGUSHA FLAN KATIKA MBIO ZETU ZA KUDAI UHURU MI BINFSI KILA NIONAPO JINA LA MWITA25 NAHISI HARUFU YA USALITI NDO MANA HATA CJACHUKUA NN AMEANDIKA KWA JAZBA NKAWA NSHAPOST KILE AMBACHO MMKIONA. Kwa hiyo nawaombeni ladhi wote ila tuwe tunajihidi kudadavua hoja na michango kabla yakuipost ili na wale wanaoelewa vitu polepole waelewe kwa urahisi.
ha ha ha!umenichekesha sn,mwita25 yupo safi kwny inshu nyng,ila ukimkuta kwny jukwaa lenu(siasa) ndio anaota gamba!na kutofautiana mtazamo ni kawaida!
 
TCRA wako wapi na wanafanya nini?
<br />
<br />
Ni kweli TCRA wanatakiwa kufuatilia haya mambo yasitokee katika vyombo vyote vya mawasiliano. Na inapotokea ktk "uvamizi" kama huu, basi wamapaswa kuwapelekea mtandao husika barua kali kuwataka wawa-block hackers mapema na kuwapa taarifa ya tahadhari wateja wao. Na wao TCRA wanawajibika kutoa tahadhari hiyo.
 
Back
Top Bottom