Tigo wapunguza ofa za univ pack ..

Sinoni

JF-Expert Member
May 16, 2011
6,187
10,664
Kifurushi Pendwa cha Tigo Univ Pack cha wiki (1500) kimeshuka rasmi

Kutoka mb 500 hadi mb 10 kwa sasa

Kutoka dk 130 hadi dk 100 kwa sasa

Kutoka sms 15000 hadi sms 100 kwa sasa,..
 
Hii yote umesababishwa na wasio wanachuo kujiunga hiv vifurush huenda jamaa hawapat faida.
Ila kwa wanachuo huduma imehamishiwa *148*00# ofa maalum kwa 1500 unapata 130 mn na 1gb na unajiunga popote pale
 
baada ya kuwa wadandiaji wengi ambao sio wana chuo menu ya *148*01*20# imepunguziwa umebaki full kwa walio sajiliwa tu kwa wanachuo kwa kutumia menu ya *148*00#,then 1 utakuta full kama hivi Umepata Dk 130 Tigo-Tigo, SMS 15000 na GB 1 kwa Tsh.1500 TU. WHATSAPP na FACEBOOK BURE. Tumia ofa yako ndani ya siku 7. Kujua salio lako Piga *102*01#
 
Mimi sio mwanachuo nimejitafutia line ya Halotel ya mwana chuo nagonga tu sh.500 kwa mb 500 kwa siku7

Speed saaafi Halotel raha sana
""''''''''''''''""''''"""""""""" ”""""""""""""""""”""""""""""""""""""""""
 
njoeni halotel popote ulipo unajiunga tu mradi upate lain ya zao zilizo na hio huduma na ziko mtaan kibao
 

Attachments

  • Screenshot_2016-03-17-17-20-39.png
    Screenshot_2016-03-17-17-20-39.png
    89 KB · Views: 49
Back
Top Bottom