Duh sidhani kama wataafiki. Halafu hiyo facebook yao ya bure ndio inakuaje? Au ndio kama ile Zero fb ya Voda enzi zile?
hahaha, tunapenda mteremko?
Infact kunaweza kuwekwa deal kati ya kina Maxence na tiGO, wakipewa nafasi premium ya kutangaza hapa huenda wakaeleweka, inakuwa faida pande zote mbili, uongozi wa jf ukipropose officially kwa tigo huenda ikawa na uzito kimtindo. Kuna site zingine wanalipa wenyewe bandwidth nyie mnaingia bure tu, sema lazima visitors na wenyewe wawe na maslahi.
Tofauti na ile Ya Vodacom !
Yao ina display mpaka ! Pics !
Yaani ni full hakuna walicho limit !
Ila ukitaka kwenda external link ! Ndipo charges wana apply !
Ndiyo inawezekana Ngoja Tusubiri !
Wametoa free access ya FB
Hawana !
Binafsi nadhani Pumba pekee nikuwa na Fikra kama zako !