Tigo tuokoeni na balaa la swapping | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tigo tuokoeni na balaa la swapping

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by cal, Mar 23, 2012.

 1. c

  cal New Member

  #1
  Mar 23, 2012
  Joined: Aug 6, 2010
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wizi wa mtandaono TIGO umekithiri. Tafadhali wahusika msibweteke okoeni jahazi.

  Watu kibao wanaibiwa float zao kwenye simu
  .
   
 2. W

  Wenger JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 433
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 60
  Ni kweli mkuu last week kuja jamaa yangu kaibiwa watu wanafanya swapping na kuchukua pesa zao Tigo wanataarifa hizo nadhani technology yao ndogo wanashindwa kuzuia wanakutajia jina tu la aliyekuibia na namba yake unaambiwa ukimpata wao watakuwa mashahidi badala ya kutoa vieleezo vyote cya mtuhumiwa ili atafutwe kiurahisi
   
 3. Kuku wa Kabanga

  Kuku wa Kabanga JF-Expert Member

  #3
  Mar 23, 2012
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 720
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  hii lazima itakua inside job,wafanyakazi wa tigo wanahusika.
   
 4. Kuku wa Kabanga

  Kuku wa Kabanga JF-Expert Member

  #4
  Mar 23, 2012
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 720
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  na hawatoi ushirikiano sio kwa sababu ya tech,wanaepuka kuharibiana.
   
 5. PetCash

  PetCash JF-Expert Member

  #5
  Mar 24, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 1,662
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 160
  Hii tigo hii! Imeshakuwa kama genge la wanyang'anyi
   
 6. i

  iMind JF-Expert Member

  #6
  Mar 24, 2012
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 1,871
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Unaweza kueleza kidogo, ni vipi hii kitu inafanyika¿?
   
Loading...