Tigo sometimes mtuhurumie

stickvibration

JF-Expert Member
Feb 7, 2017
3,227
5,132
Naimani wana JF wenzangu wote hamjambo na asubuhi njema hii, bila ya kuelezea sana turejee kwenye mada yetu
kujiunga tigo size yako, unapata dakika kadhaa na gb2.5 kwa sh 2500 wiki nzima.

Cha ajabu hizo mb 2500 ni wizi mtupu sijaingia youtube wala twitter wala sija download kitu na pia na uhakika hakuna app yoyote katika simu yangu ina background eti saa hii nimebaki na mb 786hiu ni wizi wa hali ya juu.
 
Sina povu na si leo tu nlisha wspigia saana naiisha kuwambiwa subiri tuangalie ktk system na mwishoe nakatiwa simu
Sasa unaposema povu unakosea nia na madhumuni hasa ya mimi kuandika uzi huu ili na wewe ucje kuingia choo cha albino kama nilivyo ingia mimi
 
Noted.karib halotel mi naona wametuliza pressure zangu zote
 
Sina povu na si leo tu nlisha wspigia saana naiisha kuwambiwa subiri tuangalie ktk system na mwishoe nakatiwa simu
Sasa unaposema povu unakosea nia na madhumuni hasa ya mimi kuandika uzi huu ili na wewe ucje kuingia choo cha albino kama nilivyo ingia mimi
Choo cha albino maana yake ni nini boss?
 
Mitandao iko mingapi tz? Acha kulalamika dogo, wewe hata ukigongewa mkeo utalalamika badala ya kumuacha uende kuoa mwingine
 
Mimi nimenunua simu nyingine kwa ajili ya internet nimehama tigo.ila tigo naitumia kupiga simu na kupokea ila internet nimenunua line ttcl
 
Back
Top Bottom