Tigo sio tusi.

Tigo sio tusi.

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,121
Reaction score
165,987
Tigo sio tusi tu kwenye Kiswahili chetu kileee, ila hata kwenye teknolojia. Ndo maama uzi huu nimeshindwa kuutuma kwenye jukwaa la malalamiko, wala jukwaa la lugha wala jukwaa la teknolojia.
Kitendo walichokifanya leo cha kuzima mitambo yao (nikijipigia kwa namba yangu nyingine kwenda kwenye namba yangu ya tigo naambiwa "eti haiko hewani" pia internet imekata. Display inaonyesha network iko full. Sasa tatizo litakuwa nini kama sio tigo wenyewe wanadhihirisha u tigo wao?
 
Tigo sio tusi bali ni mtandao wa simu kwa madent
 
Back
Top Bottom