nimejaribu leo ni mb 400 tu kwa mia mbili waongo sana jamaa...ila inafaa kwa vitu vidogo dogo...kama kusoma email.
wajinga sana
nimejaribu leo ni mb 400 tu kwa mia mbili waongo sana jamaa...ila inafaa kwa vitu vidogo dogo...kama kusoma email.
Asante tigo,mie wananipa MB 500 kwa sh 500 montnly ikiisha naunga tena hata kama ni within 1 hrs.