Tigo: Sasa unaweza kuunga vifurushi vya chuo popote

kcamp

JF-Expert Member
Aug 31, 2014
8,514
7,953
Naona tigo wameachia vifurushi vya university kujiunga popote hata kama wewe si mwanachuo uliesajili namba yako kama mwanafunzi...
Kwa sasa unaweza unga university offer hata ukiwa chumbani kwako.

*148*01*20#
========

Sasa vifurushi vya CHUO vimeboreshwa zaidi na unaweza kununua vifurushi popote ulipo, furahia hadi GB 1 kwa kifurushi cha wiki, Piga *148*00# chagua OFA MAALUM
 
Kuna kitu huwa sikielewi kuhusu tigo, kila siku kuna pesa Fulani wananikata, kama shilingi 50-150 kiasi ambacho huwezi ku-notice kwa upesi, sijawahi kujiunga na huduma yao yoyote sio nyimbo wala kingine chochote kile.....
 
Wapigie sasa uwaeleze , then watakwambia nini tatizo mkuu
 
Kuna kitu huwa sikielewi kuhusu tigo, kila siku kuna pesa Fulani wananikata, kama shilingi 50-150 kiasi ambacho huwezi ku-notice kwa upesi, sijawahi kujiunga na huduma yao yoyote sio nyimbo wala kingine chochote kile.....
Hii mitandao ya simu yapaswa kumulikwa sana,hayo malalamiko mimi pia ninayo najiandaa kuandika barua TCRA mana huwez kua unakatwa 150/= sababu zake haziko wazi na ukizingatia sijawahi jiunga na huduma iwayo yoyote ile
 
Kuna kitu huwa sikielewi kuhusu tigo, kila siku kuna pesa Fulani wananikata, kama shilingi 50-150 kiasi ambacho huwezi ku-notice kwa upesi, sijawahi kujiunga na huduma yao yoyote sio nyimbo wala kingine chochote kile.....

Hata mimi iliwahi kutokea baada tu ya kubadilisha chip (line) pale Quality Centre na kupata ya 4G nikaona pesa inaisha bila mpangilio wakati sijajiunga na chochote. Nilipowapigia walinieleza nimejiunga kupata hadithi jambo ambalo sikuwahi fanya na sikuwahi kupata huduma hiyo. Waliishia kunitaka nijitokea kwa kuandika neno ONDOA na kutuma kama meseji kwa namba 15668. Ndipo ikaja meseji kuwa nimefanikiwa kuondoka katika huduma zao. Nakushauri nawe ufanye hivyo.
 
Mhhhh...sidhani kama ni kweli maana walianza kubana hadi uandikishwe na uwe ni mwanachuo.
 
Kuna kitu huwa sikielewi kuhusu tigo, kila siku kuna pesa Fulani wananikata, kama shilingi 50-150 kiasi ambacho huwezi ku-notice kwa upesi, sijawahi kujiunga na huduma yao yoyote sio nyimbo wala kingine chochote kile.....
Utakuwa unakatwa gharama za kutojiunga na huduma yeyote. Hii inaitwa failure to comply charges
 
Naona tigo wameachia vifurushi vya university kujiunga popote hata kama wewe si mwanachuo uliesajili namba yako kama mwanafunzi...
Kwasasa unaweza unga university offer hata ukiwa chumbani kwako.

*148*01*20#
Aah wapi mi mbona bado inaniambia huduma hii inapatikana maeneo ya chuoni tu
 
Naona tigo wameachia vifurushi vya university kujiunga popote hata kama wewe si mwanachuo uliesajili namba yako kama mwanafunzi...
Kwasasa unaweza unga university offer hata ukiwa chumbani kwako.

*148*01*20#

Wameshachelewa Na Watu Wenye AKILI ZETU ZILIZOTUKUKA Tupo Na Mtandao BORA Wa Airtel Toka Zamani Na Hatuoni Sababu Ya Kuwa Na TIGO.
 
Hata mie sina tym nao mkuu..nipo halotel ila sio mbaya wakinipa sms zao hizo za 1500
 
Naona tigo wameachia vifurushi vya university kujiunga popote hata kama wewe si mwanachuo uliesajili namba yako kama mwanafunzi...
Kwasasa unaweza unga university offer hata ukiwa chumbani kwako.

*148*01*20#
Hata watu wa Voda unaunga popote pale ulipo kama ulijiandikisha kama mwanachuo. *149*42# fuata maelekezo. Raha kweli kweli
 
Sasa tigo wao unaunga popote bila kujiandikisha .
Tho voda nimeshajiandikisha chuo pale.
 
Back
Top Bottom