kichuminyi
JF-Expert Member
- Mar 4, 2014
- 234
- 173
Jana saa 2 asubuhi nilinunua umeme kwa tigo pesa lkn nilikaa zaidi ya dk 20 sikupata token, nilipo wapigia wakadai muda si mrefu watatuma. Nikaamua kujaribu kwa Airtel money nashukuru Mungu ndani ya dk nikapata umeme.
Sasa hawa tigo toka jana saa 2 asubuhi mpaka sasa hivi hamna cha umeme na hela yangu wameichukua kurudisha hawataki. HUU KWELI NI UUNGWANA? Kama kuna tatizo kati yao na Tanesco kwa nini wachukue hela ya mteja? Si warudishe , nitoe hela ninunue kwingine.
Huku sio kurahisisha ni kukerehesha.
Ndio maana jina la hii kampuni ikapewa wale wagawa .....
JIREKEBISHENI.
Sirudii tena