TIGO sasa mnakera!

Collusion to commit fraud! Ushauri wangu kwa haya makampuni ya simu yanayojihusisha na money transfer .....imefikia wakati yaanzishe vitengo ambavyo ni full fledged kupambana na financial crimes! Na visiwe too general kama part of risks management.
 
mkuu umezungumza kitaalam zaidi,tuelimishe vizuri mimi sijakupata
 
Na hali imekuwa mbaya sana leo hasa kwa kauli zilizotolewa na wafanyakazi wa mtandao huu kituo cha Mlimani City wanaohusika na ku'renew' laini/line za mtandao huo. Kwanza wameingia ofisini saa nne asubuhi wametoa huduma hiyo mpaka muda wa saa sita adhuhuri, baada ya hapo wakatutaarifu kuwa system inamatatizo hivyo tusubiri baada ya saa moja system itakuwa sawa kufanya kazi. Tuliamua baadhi kuondoka ilikufanya shughuli nyingine ili baadaye turudi. Ilipita saa moja tukarudi. Baada ya kurudi tukakuta bado hali haijatengemaa ya system. tukaamua kutulia hapo ya pata saa nane kaso robo za mchana. Baadaye mwenzetu akaamua kwenda kumuuliza kama kuna uwezekano wa system kutengemaa kwa leo. Alipewa maji ambayo siyo ya 'kumridhisha mteja', kuwa wao(wafanyakazi wa TIGO) wametumiwa e-mail kutoka kwa wanaoshughulika na system inasema kuwa system ikiwa sawa watawataarifu, hivyo tuwe(wateja wa TIGO waku'renew'laine waelewa tusubiri. Wakati huo huo mfanyakazi mwingine alikuwa akiwataarifu wateja wengine wa ku'renew' line wasubiri mpaka saa tisa alasiri. Niliamua kutoka kwa muda wa nusu saa ,nilipo rudi yapata saa 8.57 mchana nilikuta kuna mzee mmoja anawagombeza wafanyakazi wa Tigo kwa waweka wateja bila kuwa hudumia. Sikuona haja ya kuendelea kusikiliza mzozo huo maana nilijua hakuna tena huduma niliyokuwa na hitaji.
 
pole sana mkuu,kutokuwa hudumia wateja kwa ufasaha ni kaugonjwa kao kamezoeleka lakini gonjwa hilo limekua sasa wameanza kuwaibia wateja.togo ni wezi kumejaa wezi na matapeli wenye wizi wa kijinga
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom