Dah...unabahati sana kama hujawahi kulazimishwa [emoji2960]Hawalazimishi ndo maana ni Upuuzi kuendelea kulalamika Akati line haziuzwi Mil unaweza nunua line ya mtando mwingine kwa matumizi ya Internet then hii uitumie kawaida tu
Tigo ni wasenge km wasenge wengine.f*ck!Yaani saa hivi pamoja na mi sms zenu za saizi yako mnatukera nazo kututumia kila mda ndo mmeamua kupunguza muda wa bando yani 2000 gb 2 siku tatu?
Bora mngeweka angalau 1gb siku 7 kwa hiyo buku 2 alafu ile ofa mnayotoa huko huko ya muda wa maongezi muipunguze na ile ya msg za kawaida maana sisi tunajiunga kwa ajili ya bando la internet tuu .
Ni hayo tuu nilikuwa nawaaga bye bye tigo mmeniuzi sana mfyuuuuuuu!!!
Haha ibia ronjaEbu nipe ronja za huko mkuu
Karbuuu halotelNgoja nifanye namna tigo kwa herini
Tigo ni wa ovyo sanaYaani saa hivi pamoja na mi sms zenu za saizi yako mnatukera nazo kututumia kila mda ndo mmeamua kupunguza muda wa bando yani 2000 gb 2 siku tatu?
Bora mngeweka angalau 1gb siku 7 kwa hiyo buku 2 alafu ile ofa mnayotoa huko huko ya muda wa maongezi muipunguze na ile ya msg za kawaida maana sisi tunajiunga kwa ajili ya bando la internet tuu .
Ni hayo tuu nilikuwa nawaaga bye bye tigo mmeniuzi sana mfyuuuuuuu!!!
Pole sana, nilishawahamaga baada ya kujiunga gb 1 halafu zikaishia kwa kuperuzi JF tu hata lisaa halijafika wanaleta sms kuwa mb zako zimeisha. Nimehamia Airtel.Yaani saa hivi pamoja na mi sms zenu za saizi yako mnatukera nazo kututumia kila mda ndo mmeamua kupunguza muda wa bando yani 2000 gb 2 siku tatu?
Bora mngeweka angalau 1gb siku 7 kwa hiyo buku 2 alafu ile ofa mnayotoa huko huko ya muda wa maongezi muipunguze na ile ya msg za kawaida maana sisi tunajiunga kwa ajili ya bando la internet tuu .
Ni hayo tuu nilikuwa nawaaga bye bye tigo mmeniuzi sana mfyuuuuuuu!!!
karibu wale jamaa wa pale morocco. wapo poa sanaYaani saa hivi pamoja na mi sms zenu za saizi yako mnatukera nazo kututumia kila mda ndo mmeamua kupunguza muda wa bando yani 2000 gb 2 siku tatu?
Bora mngeweka angalau 1gb siku 7 kwa hiyo buku 2 alafu ile ofa mnayotoa huko huko ya muda wa maongezi muipunguze na ile ya msg za kawaida maana sisi tunajiunga kwa ajili ya bando la internet tuu .
Ni hayo tuu nilikuwa nawaaga bye bye tigo mmeniuzi sana mfyuuuuuuu!!!
hili ni tatizomfyuuuuuuu!!!