Njoooo halotel ukuYaani saa hivi pamoja na mi sms zenu za saizi yako mnatukera nazo kututumia kila mda ndo mmeamua kupunguza muda wa bando yani 2000 gb 2 siku tatu?
Bora mngeweka angalau 1gb siku 7 kwa hiyo buku 2 alafu ike ofa mnayotoa huko huko ya muda wa maongezi muipunguze na ile ya msg za kawaida maana sisi tunajiunga kwa ajili ya bando la internet tuu .
Ni hayo tuu nikikuwa nawaaga bye bye tigo mmeniuzi sana mfyuuuuuuu!!!
Ndg nmekuunga 100% kabsa yaan hawa jamaa wanatusa tuYaani saa hivi pamoja na mi sms zenu za saizi yako mnatukera nazo kututumia kila mda ndo mmeamua kupunguza muda wa bando yani 2000 gb 2 siku tatu?
Bora mngeweka angalau 1gb siku 7 kwa hiyo buku 2 alafu ike ofa mnayotoa huko huko ya muda wa maongezi muipunguze na ile ya msg za kawaida maana sisi tunajiunga kwa ajili ya bando la internet tuu .
Ni hayo tuu nikikuwa nawaaga bye bye tigo mmeniuzi sana mfyuuuuuuu!!!
Vumilia tu mkuu japo hata mimi nilikuwa na voda ya miaka mingi lakini nikamunua Ttcl ambayo naitumia kwenye InternetNdio tangu zamanibsana hii laini niko nayo zaidi ya miaka 18 tangu ikiitwa buzz
We Tangatanga tu!Dawa ni kuhama tu, tunahamia halotel
Kweli asee kwanza kasi ya internet yao izi kweshenabo!Hivi mtu makini unawezaje kutumia mtandao wa hovyo kama Tigo.
Smart