Tigo sasa hii ni sifa

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
26,596
Reaction score
29,531
Mwanzoni ilikuwa buku 2 unapata 1.2gb na muda wa maongezi kibao na sms 1500 juu kwa muda wa siku 7 ila kuanzia juzi wamepandisha eti 1500 1gb na muda maongezi na sms kwa siku 3 tuu na 5000 3gb na muda wa maongezi na sms kibao..
Sasa kwa hali hii hamnipati tena mshaniudhi, na saa hivi kuna ofa yao ya sh.2000 1gb siku 7 unatumia watsap, instgm, twitter, na fb ila JF ukiingia inagoma hili bando halisapoti roho inaniuma sana.
 
Daa itabidi niuze sim sasa hamna namna maana nikiiona wakati siwezi kununua bando machungu yatanizidi
Mambo yashakua magumu kaka,
"Mji ushakua mzito jirani"
 

Atleast tigo wako vizuri kwenye bando ingawa kwa mikoani baadhi ya maeneo mtandao unasumbua sana....Nunua halotel intaneti yao iko fasta sana ingawa nao wamekata GB nyingi sanaa....mfano, University line walikuwa Na bando la mwezi10GB kwa alfu10..kwa sasa ni 6GB tu.
 
Ahaa ngoja nifikirue kwanza
 
Zantel kifurushi cha "Bao" ni unlimited unapata 1Gb.Kasi yao iko juu sana,hotojuta @Tsh.1,000.
 
TTCL bandika bandua 1,000= 1gb 24 hrs
8gb 5,000= 7 days,
HALOTEL mega bando 1,000= 1gb 7days,,,,,10000 15gb 30 days.
Halotel ni wakata umeme. Wale ni baalaa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…