R raslimali JF-Expert Member Joined Nov 4, 2014 Posts 2,224 Reaction score 2,095 Apr 7, 2021 #1 Jana nilifanya muamala kwa shida. Leo tangu asubuhi najaribu lakini huduma haipatikani. Kila nikijaribu naambiwa system maintenance 🤔
Jana nilifanya muamala kwa shida. Leo tangu asubuhi najaribu lakini huduma haipatikani. Kila nikijaribu naambiwa system maintenance 🤔
stephot JF-Expert Member Joined Mar 1, 2012 Posts 17,746 Reaction score 27,214 Apr 7, 2021 #2 Kuna shida mkuu...
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 60,338 Reaction score 88,505 Apr 7, 2021 #3 Dooh kama ndio ulikuwa unategemea kutoa muamala imekula kwako......inawezekana vipi service kama hiyo muhimu iwe down kwa zaidi ya 12 hrs? Hawana redundancy ya services zao? Wanatembeaje kwa mguu mmoja?
Dooh kama ndio ulikuwa unategemea kutoa muamala imekula kwako......inawezekana vipi service kama hiyo muhimu iwe down kwa zaidi ya 12 hrs? Hawana redundancy ya services zao? Wanatembeaje kwa mguu mmoja?
Darren2019 JF-Expert Member Joined Nov 23, 2019 Posts 1,111 Reaction score 2,411 Apr 7, 2021 #4 stephot said: Kuna shida mkuu... View attachment 1745969 Click to expand... Jukwaa la siasa hili mkuu.
stephot said: Kuna shida mkuu... View attachment 1745969 Click to expand... Jukwaa la siasa hili mkuu.
YEHODAYA JF-Expert Member Joined Aug 9, 2015 Posts 36,900 Reaction score 52,033 Apr 7, 2021 #5 Wanaboresha vifurushi
R raslimali JF-Expert Member Joined Nov 4, 2014 Posts 2,224 Reaction score 2,095 Apr 7, 2021 Thread starter #6 King Kong III said: Dooh kama ndio ulikuwa unategemea kutoa muamala imekula kwako. Click to expand... Hapo Sasa!
King Kong III said: Dooh kama ndio ulikuwa unategemea kutoa muamala imekula kwako. Click to expand... Hapo Sasa!
R raslimali JF-Expert Member Joined Nov 4, 2014 Posts 2,224 Reaction score 2,095 Apr 7, 2021 Thread starter #7 Oh sorry. Mods wanaweza kuhamisha uzi kwenye jukwaa jingine.
A aker2011 JF-Expert Member Joined Apr 22, 2015 Posts 985 Reaction score 1,548 May 6, 2021 #8 Leo tena naona tigopesa inasumbua😔
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 60,338 Reaction score 88,505 May 6, 2021 #9 aker2011 said: Leo tena naona tigopesa inasumbua😔 Click to expand... Acha tu tigo wanazingua sana!! Inatakiwa wajipange tena!!
aker2011 said: Leo tena naona tigopesa inasumbua😔 Click to expand... Acha tu tigo wanazingua sana!! Inatakiwa wajipange tena!!
A aker2011 JF-Expert Member Joined Apr 22, 2015 Posts 985 Reaction score 1,548 May 6, 2021 #10 King Kong III said: Acha tu tigo wanazingua sana!! Inatakiwa wajipange tena!! Click to expand... Kabisa mkuu, apa mtu ana tatzo na pesa zipo tigo naangaika tuu utadhani ela za mkopo!
King Kong III said: Acha tu tigo wanazingua sana!! Inatakiwa wajipange tena!! Click to expand... Kabisa mkuu, apa mtu ana tatzo na pesa zipo tigo naangaika tuu utadhani ela za mkopo!
Dr hyperkid JF-Expert Member Joined Jun 7, 2019 Posts 13,733 Reaction score 27,094 May 6, 2021 #11 Mtandao hovyo huo
R raslimali JF-Expert Member Joined Nov 4, 2014 Posts 2,224 Reaction score 2,095 May 6, 2021 Thread starter #12 aker2011 said: Leo tena naona tigopesa inasumbua😔 Click to expand... Imesumbua sana tu. Nilikuwa najaribu kuangalia salio inaniambia UNKNOWN APPLICATION
aker2011 said: Leo tena naona tigopesa inasumbua😔 Click to expand... Imesumbua sana tu. Nilikuwa najaribu kuangalia salio inaniambia UNKNOWN APPLICATION
A aker2011 JF-Expert Member Joined Apr 22, 2015 Posts 985 Reaction score 1,548 May 6, 2021 #13 raslimali said: Imesumbua sana tu. Nilikuwa najaribu kuangalia salio inaniambia UNKNOWN APPLICATION Click to expand... Ni kweli ila kwa sasa naona imekaa sawa
raslimali said: Imesumbua sana tu. Nilikuwa najaribu kuangalia salio inaniambia UNKNOWN APPLICATION Click to expand... Ni kweli ila kwa sasa naona imekaa sawa