Tigo pesa Haipatikani

Tigo pesa Haipatikani

Imerudi sio muda mrefu ukiona hivyo.
Mnasema huduma zimerudi lakini mimi mpaka muda huu nikigusa *150*01# naambiwa hivi. " Huwezi kutumia huduma hii kwa sasa. Wasiliana na huduma kwa wateja."
Sijui ndio kurudi kwa huduma au imerudi vipi?
 
Kama huduma zimerudi angalia salio kwanza mzigo upo?
 
Nimenunua kifurushi sasa hivi kupitia Tigo Pesa na salio liko Sawa sawa
Screenshot_20210408-145408.png
 
Haya mamitandao sikuhizi yamekuwa Kama mashirika tu ya wapiga punye.. huku halotel spidi ya internet Kama mtu anaenda kukata roho! Yani wanashindwa spidi hata na mtu anaeenda kuhara!!
Ovyo kabisa yani, nimejuta kununua Kifurushi chao
 
Back
Top Bottom