Tigo pesa Haipatikani

Tigo pesa Haipatikani

Jaylee

Member
Joined
Apr 15, 2009
Posts
66
Reaction score
96
Leo ni siku ya 3 huduma hii hapatikani, tatizo ni nini hasa?
 
Baadhi yetu tunategemea huduma hii kwa biashara tunazozifanya. Wewe unawazia madem. Kweli mapunguani mko wengi
 
Leo ni siku ya 3 huduma hii hapatikani, tatizo ni nini hasa?
Kuna muda usiku huduma ilirejeaaa asbh tena imekata naona kuna kitu kinawasumbua uko kwa system tuwe na subra
 
Tigo wanaenda siku ya 3 leo,huduma ya tigo pesa haipatikani.Isije ikawa records zote zimefutika hawajui nani na nani balance yao ilikuwa sh ngapi...
 
Hiyo si rahisi hata kidogo sababu ya Back up plans. Halafu huduma nadhani zimerudi
 
Hata T -Pesa ya TTCL karibia wiki sasa haipatikani.

Isijekuwa hujuma baada ya kukataliwa kupandisha bei za vifurushi au ?

Yani wanakera sana.

Inachelewesha maendeleo
 
Ila comments za humu zinafurahisha sana.
 
Naona imeanza kufanya kazi mida hii
 
Haya mamitandao sikuhizi yamekuwa Kama mashirika tu ya wapiga punye.. huku halotel spidi ya internet Kama mtu anaenda kukata roho! Yani wanashindwa spidi hata na mtu anaeenda kuhara!!
 
Hiyo si rahisi hata kidogo sababu ya Back up plans. Halafu huduma nadhani zimerudi
Wabongo huwa hawana akili....
wanachochea vitu vya kijinga....alafu utashangaa uzi unataambaa kwa kasi...
kumbe huduma zilisharudi
 
Back
Top Bottom