Mateja M.G Yango
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 613
- 1,093
Hawa jamaa sijuihata niwaelewe vipi.
Nilikosea kutuma ela tar 04, ilikuwa inaenda voda, nikapiga tigo, baada ya several trials simu ikapokelewa, kuwaeleza tatizo langu wakasema litashughulikiwa, ila kwa kuwa wao watawasiliana na vodacom kwa email ni bora nipige simu na vodacom, maana vodacom wanaweza chelewa soma email fedha ikaamishwa.
Hapo hapo nikapiga simu voda, wakaelewa tatizo langu, ela bado ikawa haijaguswa, wakaniambia washaipiga stop, lakini watasubili taratibu za tigo.
Nkawarudi tigo tena, wakasema taratibu zao ni kusubiri masaa 72 ndio wataweza rudisha hizo hela.
Masaa 72 yameisha hela hawajarudisha, kila ukiwapigia utaambiwa taratibu hazijakamilika, ukiuliza taratibu gani hizo siku ya tano leo, hakuna jibu unalopewa, ilimradi tu umesumbuliwa. Wakati upande wa pili bado unaisubiri hiyo hela.
Sio mara ya kwanza kwa hili kutokea, kuna siku yalipita masaa 24 hawajawasiliana na voda, ikabidi niwe mdogo nimpigie tu nliyetuma kwake kwa bahati mbaya, akawa muungwana akarudisha hiyo ela.
Naamini matatizo haya yanawakuta watu wengi sana.
1. Customer care nadhani wapo wachache, iwe usiku iwe mchana utachelewa sana kupokelewa simu.
2. Hakuna muda specific walio set kukurudishia hela zako, hii inatengeneza usumbufu sana kwa sisi watumiaji, maana kila ukiambiwa masaa 24 au 72 haiwi kweli, utasubiri na utapiga simu several times ndio usikilizwe.
Kuna haja sasa ya kupeleka official complaint kwa TCRA, maana wao ndio wana regurate hii mitandao, na kama watajitoa kwenye hili basi hata BOT kuna haja wawaangalie hawa jamaa. Huduma za kumuuza mteja bila sababu ya msingi hazina mantiki kwa karne hii.