Mivyumba
JF-Expert Member
- Apr 20, 2017
- 275
- 533
Habari wakuu!! Leo kwenye mida ya Saa tano,niliweka vocha ya tsh 20000, nikajiunga Kifurushi cha mwezi cha tsh 15000 ambapo walinipatia Dak 850,GB 5.5 Na Sms 500. Kabla ya kujiunga nilikuwa na GB 3,hivyo jumla nikawa na GB 8 na hizo dak pamoja na Salio lililobaki la Tsh 5000. Cha Ajabu after 2 hrs najaribu kumpigia mtu naambiwa Salio hamna🤔🤔kweli nilipoangalia nikakuta 0 kwenye Salio la kawaida,sms 0,mb 0 na Dak pia! Najaribu kuwapigia Lakini simu hawapokei. Naomba Mwongozo wa namna ya kufuatilia