Tigo ndio nini mmetuletea??

Yaani mimi nikisikia Saizi yako akili yangu hii ya kijiko inanituma kwingine kabisa
 
tigo wanazingua sana tangu nisajili line internet inakula sana bora nihamie air tel
 
M nahisi hawa jamaa wamebanwa makusudi na wazee wa system ili watu wakimbilie ttcl, maana walianza kwa kulazimisha watumishi wameona bd,
ukiangalia kila mtandao asaiv wamepandisha gharama za vifurush halaf jamaa wao ndio wanashushaaa,

ni mawazo tuu
BTW: nimeku mabumunda na mtindio uliochacha jioni hii, na hapa pembeni kuna lijikambale lililochina nasubiri nilile jioni na midevu yake.
 
Hii Slogan yao ya SAIZI AYO..matokwo yake wengine wanapewa Saizi kubwa na wengine ndogo, saizi hazitutoshi jamani.
 
Tsh 2500 mb 500 per week?
Ngoja tu nibaki eatel
 
Eti saizi yako!!!
Tatizo hiki kifurushi hakina usawa
 
Naona jinsi gani tunaibiwa kinyemela na hawa tigo bila hata kutujulisha eti "siizi yako" hivi kwanini mnatufanyia hivi jamani
 
Size yako acha ibaki tu. Napewa GB 4 kwa 2000 tena wiki nzima, 4000 dk 120 mitandao yote+1GB+unlimited sms vyote hivyo hadi siku zitakapoisha! Dk 60 mitandao yt kwa 500 wiki nzima, nk nying tu acha zile social pack. Size yako kwangu ibaki tu
HII laini ya hivi hua mmeanzaga itumia lini? mbona mimi mtumiaji wa huu mtandao tangu 2009 lakn sina hizi option? au kwakua nlikua naiweka mara 1 kwa mwezi?

kuna mtu ana hii laini namwambia anipe ananiringia kinoma anataka 50,000..mkuu kama yako unaweza itoa sadaka nipe mimi nina 30,000 cASH.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…