nimepigiwa simu leo na Magamba wakiomba kura sasa ni je wamepata wapi namba yangu ya simu? nimewapigia TIGO hawajanipa majibu ya maana sasa kilicho bakia nimeamua kuchoma moto laini ya TIGO na hilo nimewataalifu kabisa,
Kuna baadhi ya wahudumu wa hayo makampuni ambao siyo waaminifu hushirikiana na maharamia kutoa siri za wateja wao.
Nasubiri kwa hamu nami wanipigie nipate sababu ya kuhamia "Smart"
nimepigiwa simu leo na Magamba wakiomba kura sasa ni je wamepata wapi namba yangu ya simu? nimewapigia TIGO hawajanipa majibu ya maana sasa kilicho bakia nimeamua kuchoma moto laini ya TIGO na hilo nimewataalifu kabisa,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.