Baada ya VODA na airtel sasa Tigo. mambo ya mb 1
Mpendwa mteja,Kuanzia KESHO Mini Kabang Sh 499 kitatoa DK 6,SMS 40& MB 1, Xtrme Sh 499 itatoa DK 14,SMS4O & MB 1 vitatumika hadi SAA 6USK.Samahani kwa usumbufu
kwa mujibu wa TCRA waliyapa makampuni maagizo ya kutenganisha vifurisho. hivyo Mb 1 ni mpango wa kulazimisha wateja wawe na bajeti ya kununulia salio la kupiga simu tu na wawe na bajeti ya kununulia salio la kuperuzi.