Tigo na Wizi Mpya watatumaliza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tigo na Wizi Mpya watatumaliza

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mgt software, Aug 11, 2011.

 1. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #1
  Aug 11, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,717
  Likes Received: 1,627
  Trophy Points: 280
  Baada ya kuumia kwa muda mrefu sasa nimeona nilitoe hili la wizi mpya wa Kampuni ya Mawasiliano (TIGO).
  Njia wanazozitumia ni kama ifuatavyo:-
  - Ulazimisha nyimbo bila wewe kukubaliana nao na kukatwa hela .
  - Ukiingiza internet ya siku yaani kujisajiri kwa sh. 450, baada ya kuisha hawatumi message wanakula hela zote wanazozikuta zikiwa ni kidogo kama mia mbili , lakini wakikuta kuna zaidi ya miatano , system inakusajiri automatic bila kujali kuwa unahitaji aula.
  -Ukwambia kuwa kama una matatizo piga 100, ukipiga 100 hawapo wanakuelekeza kuwa piga 0713800800, simu inaita mpaka inakata, kadiri unapoendelea kuwaita kwa namba hii ndivyo unavyoliwa hela yaani sh. 50. Pia njia hii ya kumtumia mtu hela ukalipia huduma ni wizi mtupu kwani wao tiyali wako ndani ya biashara.
   
 2. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #2
  Aug 11, 2011
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Tigo bana iko jizi kabisa
   
 3. F

  Fuata upepo Member

  #3
  Aug 11, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Airteeel iko jambaz! Kwanini yeye kata hela ya sms ikiandika massage sent ila ikifeli hata kwa netwok problema wenyewe wameshajichotea mihela. Hamia TTCL
   
 4. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #4
  Aug 11, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  kweli tigo inaboa sana na missage ya ajabu ajabu, hata voda siku hizi wameanza mfno ukihamisaha salio kwa mtu mwingine wanakta Tsh. 40 hii ni hela nyingi sana. mi nadhani hizi huduma nyingine watoe kwa wateja bure
   
 5. Mwendabure

  Mwendabure JF-Expert Member

  #5
  Aug 11, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,054
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 180
  Tangazo kila unapopigia mtu. Kujua namba haipatikani inakulazimu usikilize tangazo lote hadi mwisho...loh! Kero kero kero! Mitandao kero, Mamlaka ya mawasiliano Kero! Magamba kero! TZ kero, Miaka hamsini ya kero.
   
 6. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #6
  Aug 11, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 736
  Trophy Points: 280
  mie swala la matangazo kila ukimpigia mtu ndio linanikera sana...
   
 7. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #7
  Aug 11, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,036
  Likes Received: 3,067
  Trophy Points: 280
  Naona hii mitandao ni aina nyingine ya utapeli na DECI za kuungaunga zinazolindwa na viongozi wa serikali hii inayotiwa kwapani na akini ENGEN

  hivi kwa nini interneti isisetiwe kulingana na pesa iliyolipwa na m2?kwa nini wanachukua kila siku eti kisa simu yako ina sh500?
   
 8. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #8
  Aug 11, 2011
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Sasa wanatula TiGo kavukav
   
 9. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #9
  Aug 11, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  TTCL ni bibi kizee amayejifanya sista du
   
 10. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #10
  Aug 11, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hii mitandao inaonyesha imefika mwisho kiushindani badala yakutafuta njia mmbadala wanabaki kutuia sijui wizara husika inasubiri iwe kama mafuta na ilivyo serikali haina hisa hapo ndo itakua taabu kwelikweli
   
 11. i

  ismailjf Member

  #11
  Aug 11, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 5
  Huu ni uhuni wa mchana mchana, yameniukuta na mimi mzee mzangu, ilibidi turushiane maneno na muhudumu walipopokea baada ya kuhangaika kama siku mbili bila kupokea simu, nadhani ndio mtandao unaokera kuliko mitandao yote. na hilo wanalijua kuwa wanafanya wizi wa mchana mchana kabisa. Je hizo 450 wanazokwapua watu, wakikwapua kwa watu laki moja tu, si wanakwapua 45,000,000, na hii wanapata kwa siku, na kwa kuwa nauli tu kwenda kwao ni zaidi ya hiyo 450, ndio maana watanzania hawawezi kwenda fuatilia huko, kwa wiki wanakwapua kiasi gani , kwa mwezi na mwaka itakuwaje?
   
 12. mkonomtupu

  mkonomtupu JF-Expert Member

  #12
  Aug 11, 2011
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 445
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  <br />
  <br />
   
Loading...