Tigo acheni wizi na vodacom acheni uzembe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tigo acheni wizi na vodacom acheni uzembe

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by lubazi, Nov 2, 2011.

 1. l

  lubazi Senior Member

  #1
  Nov 2, 2011
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 135
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nimekuwa mtumiaji wa huduma katika tigo,voda na airtel lakini nimegundua matatizo makubwa katika kampuni ya tigo na vodacom.
  tigo wanachaji gharama kubwa sana kuongea toka tigo kwenda tigo achilia mbali tigo kwenda vodacom
  nimeongea kutoka tigo kwenda tigo nimejikuta nikikatwa shilingi 1 na senti 31 kwa sekunde 1 wakati tigo wanatanga senti 50 kwa sekunde huu ni wizi mkubwa wa kisirisiri tunaibiwa wananchi
  tatizo lingine muda wa kuanzia saa 4 usiku mpaka saa 12 asubuhi wanasema kuongea baada ya dakika 3 inakuwa bure nimeweka vocha nikaongea nikijua nitaongea bure baada ya dakika 3 kufika nikajikuta simu imeisha ela na kukatika baada ya dakika kadhaa hazikuzidi dakika 30 katika maongezi yangu niliweka sh.1000 sasa tuwaite wezi au wawekezaji?
  tatizo lingine ukipiga namba yao ya 0713800800 customer care utaishia kusikiliza wimbo wao siku nzima hakuna wakupokea kukusikiliza shida yako sasa najiuliza huko tigo wameajiri mtu mmoja kwenye customer care?

  vodacom wamebweteka katika huduma ya mpesa maana kila wakati utasikia mtandao wa mpesa mbovu mafundi wanashugulikia limekuwa tatizo sugu kama umeme wa tanesco matokeo kumekuwa na kutokuelewana kati ya mawakala na wateja na voda hawafanyi jitihada kushugulikia hilo tatizo na hiyo inapelekea wateja kupata shida zaidi badala ya kutatuliwa shida zao
  kama mkonga wenu umezidiwa na idadi ya wateja ongezeni mikonga mingine na server za kutosha mbona munapata faida sana kwenye huduma zenu na hamtaki kuwekeza pesa zaidi kuimarisha huduma zenu???munataka kuchukua tuu kutoa hamtaki???tuwaite wezi au wawekezaji?
   
 2. d

  dr chris Member

  #2
  Nov 2, 2011
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  naunga mkono hoja
   
 3. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Tigo ni wajinga sana.leo nimeongd dakika 2 na sekunde 24.wamenikata sh.408.hu sio wizi?
   
 4. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #4
  Nov 2, 2011
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Ni kweli kabsa,tgo ni wezi wa mchana hawa!
   
 5. Poriposha

  Poriposha JF-Expert Member

  #5
  Nov 3, 2011
  Joined: Oct 23, 2011
  Messages: 306
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mi mbona huwa inakubali fresh baada ya dk 3 huwa naogea sana tu bureeee tena mara ya mwisho nimeonga jana bila problem karibu saa 1 na dk 45..ILA TATIZO KUBWA NI HIYO TIGO PESA YAO JINSI INAVYOZINGUA MAWAKALA FULL KULA LOSS

  Hili naunga mkono hoja inakuwa bizee kwa sababu ni bure ila zile nyingine ambazo ukiongea nao wanakukata Tsh 100 ukipiga ni fasta unapokelewa..Tigo acheni huu uhuni
   
Loading...