Yaan wakati naandka huu uzi tayar nimepata message mbili za tigo niwezeshe......wananichosha sana kufuta ktu kimoja kila saa
si uende page ya tigo fb, ofisi zao unazijua unakuja humu umeambiwa kuna customer care ya tigo?
MTOTO WA KUKU ... Vipi kuhusu pale ambapo unapigiwa simu kabisa, ukipokea tu unasikia recorded voice ambapo wanatangaza biashara / services zao - vipi na hizo simu unastopishaje?! (kiswahili-cha-kingereza)Andika ONDOA kwenda 15372.....hautaletewa tena hizo msg...
Yaan wakati naandka huu uzi tayar nimepata message mbili za tigo niwezeshe......wananichosha sana kufuta ktu kimoja kila saa