Tigo Musoma mna tatizo gani?

MZAWATA

JF-Expert Member
Feb 10, 2011
556
95
Tigo mtandao huu jaman siku hizi ni matatizo matupu hapa musoma,network ni tatizo kubwa sana,yan muda mwing mtandao unafel hata mtu ukiwa na emegence unashindwa kufanya mambo yako. Leo nahamia airtel au voda rasmi haiwezekan nikae katika mtandao ya ubabaishaj kias hiki, tumechoka na tigo jaman tosha sasaaaaa!
 
Mtaa wa mkendo.peninsula.beach,tembo beach .Afrilux,chief kiumbe,vicent nyerere.Mwigobero.
 
Wewe ndo unastuka leo? Hamia huku,wenzio tumeshaama zamani,sio musoma tu ni sehemu zote,tgo hovyo kabisa
 
Unazungumzia musoma?nini musoma? Dar yenyewe tigo inasumbua,network inakuonyesha full ila mawasilino inakuwa hayapo,au internet haipatikan network, kupiga inapiga,yaani ni usanii mtupu.
 
kuna tabia imezuka ya baadhi ya maafisa masoko kuwa wavivu wa kufikiri na kutumia mitandao ya kijamii kuchafuana....
natoa onyo kali kwa wavivu hawa toka voda, tigo, airtel na mengineyo.
acheni uvivu wa kufikiriiii.
alaaa.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom