NGOGO CHINAVACH
JF-Expert Member
- Apr 8, 2011
- 943
- 368
Vigezo na masharti kuzingatiwa.
dawa ni kuhama tu unapunguza matatizo.Ukimpigia mtu hapatikani badala ya kujibiwa hapatikani kwanza unasikia huo mwimbo kama tangazo la caller tune, baadaye ndo unajibiwa hapatikani.
Nampigia mtu anaongea na simu nyingine kwanza napigiwa huo mwimbo kama tangazo la caller tune baadage ndo najibiwa mtumiaji yupo busy.
Binafs ninakerwa sana, pumbaav zenu tigo. Watu tuna haraka na stress zetu mtu hapatikani nijibiwe hapatikani basi, kama yupo busy nijibiwe yuko busy. Mnatutia hasira na kutuondolea mood kila nikipiga simu huo wimbo huo wimbo aargggh!
Hata kama ni tangazo si mngekuwa mnamuwekea mtu huo mwimbo kama tangazo la caller tune mara 5 kwa siku muda mwngine ajibiwe kawaida??!!
Tena li caller tune linaitwa 'nivumilieeeeee...'Bora uvumiliee..
Mkimaliza shule mtauhama.
Ukimpigia mtu hapatikani badala ya kujibiwa hapatikani kwanza unasikia huo mwimbo kama tangazo la caller tune, baadaye ndo unajibiwa hapatikani.