Kijana hajaelewaaa...!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] anawaza kuibiwaa tu muda woteee..Hujaelewa ww acha kulalamika umepewa dkk 600 utumie mda wwte na zingine 550 za nyongeza ila zinatika Uck ss kelele za nn km dkk zako 600 Umepata hzo za nyongeza unalillia nn
Marketers.Dk 600 ni sawa na 10hrs talk time, it’s no joke!
Kwa mwezi mmoja tu unaongea na simu sikioni kwa masaa 10+ una dili gani la maana?