Ramadhani Salumu
Member
- Feb 21, 2015
- 28
- 41
Leo katika pitapita zetu tulipita karibu na viwanja vya Tanganyika Packers-Kawe penye ibaada za Gwajima, mbali na idadi ya maelfu ya watu lakini miamvuli mikubwa ya TIGO Ilionekana kujaa kwenye viwanja hivi.. Mnyonge mnyongeni lakini nadhani haki kidogo mpeni.. Nadhani hii ni Kampeni kubwa kwa Kampuni ya simu -TIGO.. walione hili wamlipe huyu maalim Gwajima kwa kuwatangazia soko lao🎉