tigo kwishaaaaaa.

Asango

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
234
24
wana jf wenzangu naomba kuwauliza kwmb ni hili eneo nililiopo halina network au sehemu zote.toka saa kumi eneo hili network hakuna,pumbafu zao hajui wengine tunashughuli nyingi zinazotegemea simu.wanapoa hawa!
 
Akili nyingine hivi ukisema Tigo kwishaaaa unaelewa maana yake?

Kukosekana kwa network kidogo ndiyo kwishaaaaaa!!!!!!
 
wana jf wenzangu naomba kuwauliza kwmb ni hili eneo nililiopo halina network au sehemu zote.toka saa kumi eneo hili network hakuna,pumbafu zao hajui wengine tunashughuli nyingi zinazotegemea simu.wanapoa hawa!

kaka utafunguliwa kesi ya kuihujumu tigo

yaani ukisoma kichwa cha habari unaweza tafuta njia ya kutokea kama ni mteja wa tigo
 
haya je? sasa haipo hewani? usiwatukane tiGo kwani wana huduma kwa wateja kila mahali au nenda facebook yupo mhudumu maalum anajibu saa zote kuhusu mtandao
 
Mimi nafanya mpango kuwashtaki maana nimenunua umeme kwa tigo pesa toka tarehe 1may lakini mpaka leo hawajani2mia umeme na wananisumbua kila nikienda kuwaona, Wameniudhi sana
 
yaani mada unaposti mwenyewe halafu unaandika kitu tofa tofa!!!!!!kwanza hata hujasema hapo ulipo ni wapi hadi hiyo network inasumbua, yaani maelezo yako hayajitoshelezi(ukiachilia mbali hiyo mada uliyoandika hapo juu). Sasa sijuii hii thread yako unataka usaidiwe nini! JIPANGE KWANZA NDUGU, KUWA NA UHAKIKA NA UNACHOKITAKA!!!!
wana jf wenzangu naomba kuwauliza kwmb ni hili eneo nililiopo halina network au sehemu zote.toka saa kumi eneo hili network hakuna,pumbafu zao hajui wengine tunashughuli nyingi zinazotegemea simu.wanapoa hawa!
 
tigo ni mafala tu..hakuna cha kuwatetea hapa..we can as well sue them for loss of income generated through mobile com...au hawajui?? tokea jumamosi network hakuna...wewe unafikiria hii ni raha?? kama hawezi toa huduma si wafunge mtandao wao?? kutupa presha za bure..
 
Mimi nafanya mpango kuwashtaki maana nimenunua umeme kwa tigo pesa toka tarehe 1may lakini mpaka leo hawajani2mia umeme na wananisumbua kila nikienda kuwaona, Wameniudhi sana
Almost jumamosi nzima hakuna netwok, watu tuna line moja tu..na yenyewe ni ya tigo halafu mnaleta ujinga wenu hapa..fungeni limtandao lenu kama hamuwezi toa huduma..nyambaf...au mnaitetea kwakua mnafanya kazi hapo??
 
kwanza Tigo ulivotaja mi mwili ukasisimka...nikajua tigo sijui nini kumbe ni mambo ya simu aaghhhh
 
Ni kweli hata mm nilishangaa jumamosi a.k.a wikiendi network haikuwepo kwa karibu nusu siku. Tigo wajipange kwa kweli tusijerudi kule kule enzi ya Mobitel & Buzz kuwa mtandao wa watoto na wanafunzi.
 
Back
Top Bottom