Nilichogundua mitandao inategemea sana upo maeneo gani....nilipo mimi airtel nateleza tu kwa kweli.bora ubaki uko kama cm ukipga mnasikiana mana uku airtel unapewa gb 1 na dakika 100 kwa buku ila network utajua ww utaitoa wap mpaka kifurushi kinakata
Usishindwe kuhama mtandao ati kisa umekaa na namba yao kwa muda mrefu. Kuna mobile number portability ,Laini niliyonayo ni ya 4G na simu pia ni ya 4G, kutembea na simu mbili ndo sipendi,
Maana hizi laini ya tiGO huu ni mwaka wa 14,
Na laini ya Vodacom huu ni mwaka wa 9
Halotel,
TTCL,
Airtel (hii nataka nikaifutie usajiri kabisa ili wajue siwapendi)
Hizi hata miezi sita bado hazijafikisha
Mimi ni mjasiriatumbo boss vipi kuhusu wateja wangu watanipata kwa namba hiyo hiyo hata wakinitafutafuta kwenye namba za tiGO na Vodacom?Usishindwe kuhama mtandao ati kisa umekaa na namba yao kwa muda mrefu. Kuna mobile number portability ,
Nimekaa na line ya tigo kwa miaka 15, ilipokuja mnp, nimekuwa mtu wa kuhama ninapoona pana vifurushi vizuri tu ,wakiniudhi nahama.
With mnp namba yote ni mali yako mteja hadi zile code nine za mwanzo na una uhuru wa kwenda nayo popote .
0712xxxxxx yangu kwa sasa ni halotel ila nimewahi kuwa airtel voda na ttcl
Mkuu namba ni mali yako , unahama nayo yote hupotezi kitu , na hamna mtu atakukosa hata huhitaji kuwaambia kuwa upo mtandao upiMimi ni mjasiriatumbo boss vipi kuhusu wateja wangu watanipata kwa namba hiyo hiyo hata wakinitafutafuta kwenye namba za tiGO na Vodacom?
Halotel wananikosha 1gb kwa book wiki inakata na bado furushi lipo linadai Ebana ehee ......mpaka leo sijawahi kuwasahau kwenye maonbi yanguSijawah juta kutumia halotel
Nimekuta nalo mimi hilo wanakupiga pini zikienda sms kama 10 au zaidi ukiwapigia wanakwambia nitatizo lipo linapatiwa ufumbuzi, kumbe ni janja janja tu...nilivyogundua hilo line nikatupa kuleHii ndoo changamoto kubwa. basi wanaupuuzi mwingine.. ukituma sms nyingi ndani ya muda mfupi wanakuzuia kutuma kama masaa 2-6 hivi. wakati una kifurushi cha mwezi.
Kampuni ya Tigo nawaaga. Moja kwa moja. Sitatumia tena huduma zenu. Endeleeni na ukamuaji mnaofanya. Sina hata haja ya kuorodhesha kero zenu.
Mungu awalinde
tangu niamke sahizi ndo nimecheka. Unapewa 1gb & 100mns then network utafute mwenyewe. duh!bora ubaki uko kama cm ukipga mnasikiana mana uku airtel unapewa gb 1 na dakika 100 kwa buku ila network utajua ww utaitoa wap mpaka kifurushi kinakata
burudaniiiiiiiiiii[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]Sasa bwana Joseph labda fafanua,bifu la wewe na tigo limeanza kwenye ishu gani,Mimi jengo la tigo huwa napita tu sijui wana shughulika na Nini[emoji41][emoji41]
Serikali kupitia waziri Faustin Kuna kikao nadhani ni mwezi huu... kuanzia mwez ujao mambo yakua safi.. [emoji28][emoji28]Kampuni ya Tigo nawaaga. Moja kwa moja. Sitatumia tena huduma zenu. Endeleeni na ukamuaji mnaofanya. Sina hata haja ya kuorodhesha kero zenu.
Mungu awalinde
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Jero unapewa Mb 50 tigo ni mbwa
Si walikaaa wakasema kuanzia mwezi wa 4 yatakua poa.. tunasubirSerikali na makampuni ya simu wakae meza moja waone namna ya kuwasaidia makampuni haya changamoto zinazowafanya wapandishe kila mara gharama za data, ikiweza itoe ruzuku au ipunguze kodi