Usitukane mamba bro, sisi wa vodacom tunatamani kuhamia huko unakotoka!Kampuni ya Tigo nawaaga. Moja kwa moja. Sitatumia tena huduma zenu. Endeleeni na ukamuaji mnaofanya. Sina hata haja ya kuorodhesha kero zenu.
Mungu awalinde
Wanachuo huu uzi hauwahusu.Mimi mbona tigo hawaja nibania kiviiileView attachment 1700220View attachment 1700221
embu tuwekee hilo agizo hapa.
Mtapigwa mtachakaa 😂😂😂 yani GB za shilingi 3000 kwangu we unauziwa 10K?Siwezi lipa hiviView attachment 1700181
Karibu Voda mkuu 😂Kokote alimradi niwahame. Protest ina maana
Simple nunua kitochi hamishia hizo number huko! Kula maisha na lIne zenye nafuu ulikotoa Tigo na VodaNahisi laini zinatofautiana hii mm sina.ipo ya 5000 2gb kwa wiki. Sijui kwakuwa lain yangu ya zamani.una bahati au menu yako iko tofauti na ya wengine?
Kwa wiki nikijibana natumia 8000 yaan nanunua voda dk 250 all net kwa 3000 nanunua 2gb tigo kwa 5000 kwa ajili ya net tu. Na hii 2gb haifiki wiki dah
Sasa nawaza nikisajili lain nyingine ntaweza beba simu mbili?
Hama hama itakuwaje na kazini maana wateja washazoea hizo no.dah
Jana mzee katupa line yao, wamerudi na kale kamchezo kao ka kuiba 200 mpaka 500 ukiweka salio tu 😂😂😂😂😂Karibu vodacom
View attachment 1701518
Mtandao gani huu?Hamia huku View attachment 1700223
Saiv ipoHapa hapa Dar kuna wengine wanaofa hiyo wengine hawana...Mimi waliitoa kwenye laini yangu ya kwanza nikajua wote...nilipokuja kujua wengine wanayo nikasajili laini nyingine.
Mtandao gani huu?
Voda ndo mijibwa kabisa. Sh 1,000 = mb 150. Si ujambazi huu mchana kweupee
chief toa code huku wapi hukuHamia huku View attachment 1700223
Hizi simu zenye kutumia lines mbili huwa zinadumu kweli?[emoji848]View attachment 1700222
wamepunguza saa iv wanatoa mb 500Njoo airtel 1000 1GB siku 3 lakini mtandao utatafuta mwenyewe
Tigo ni majambaziJero unapewa Mb 50 tigo ni mbwa
Siyo kweli, mbona mitandao mingine ni nafuu, kwani hawa tigo wana uspecial ganiSerikali inataka hela kinguvu, na wao ndio wameaagiza hizo hela zikusanywe kibabe.
Huku napo wamepurua tayari tuhamie mars tuNjoo airtel 1000 1GB siku 3 lakini mtandao utatafuta mwenyewe