Mchokoo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2015
- 1,179
- 1,579
Watanzania wenzangu, hili ndilo nililolikusudia moyoni mwangu kwa maslahi mapana ya taifa langu.
Hivyo naomba yeyote wa kuniunga mkono.
Mkasa wenyewe uko hivi;
Kiukweli mwezi huu nina shughuri nzito zinazonirazimu kutumia data nyingi.
Hivyo kupitia makampuni husika; nikaona kwamba Tigo wana kifurushi cha GB 30 kwa sh. 35,000 mwezi mzima
Ndiposa nikashawishika, nikakinunua hicho kifurushi leo hii saa 3 asubuhi mnamo tar. 24 April 2021
Kitu cha kwanza nikaamua ku-update window ya PC hii ninayotumia. Kinachoshangaza kazi bado haijaisha, lakini natumiwa ujumbe kuwa eti nimeshatumia GB 3. na mapointi yake kuelekea 4 . Hivi kwa u-slow wa network yao mpaka namaliza ku-update pekee, sizitakuwa zimeisha hizi GB 30 zote?
Yaani sina kitu chochote nilichokipakuwa mtandaoni zaidi ya huu uandishi.
Hapana bwana, nimeona kuwa nikicheka na kima nitaambulia mabua.
Hivyo natangaza dhamiri yangu ya kuwashtaki hawa jamaa.
Naomba kila mwenye mapenzi mema aniunge mkono kusudi tuikomesha tabia hii sugu kwenye mashirika haya!
Wakuu, nianzie wapi?
Kwa sasa niko hapa Musoma mjini.
Ni mahakamani au kwa msuruhishi yupi?