Tigo, kwa wizi huu nawashtaki mchana kweupe!

Mchokoo

JF-Expert Member
Jul 28, 2015
1,179
1,579
Watanzania wenzangu, hili ndilo nililolikusudia moyoni mwangu kwa maslahi mapana ya taifa langu.
Hivyo naomba yeyote wa kuniunga mkono.

Mkasa wenyewe uko hivi;
Kiukweli mwezi huu nina shughuri nzito zinazonirazimu kutumia data nyingi.
Hivyo kupitia makampuni husika; nikaona kwamba Tigo wana kifurushi cha GB 30 kwa sh. 35,000 mwezi mzima
Ndiposa nikashawishika, nikakinunua hicho kifurushi leo hii saa 3 asubuhi mnamo tar. 24 April 2021
Kitu cha kwanza nikaamua ku-update window ya PC hii ninayotumia. Kinachoshangaza kazi bado haijaisha, lakini natumiwa ujumbe kuwa eti nimeshatumia GB 3. na mapointi yake kuelekea 4 . Hivi kwa u-slow wa network yao mpaka namaliza ku-update pekee, sizitakuwa zimeisha hizi GB 30 zote?
Yaani sina kitu chochote nilichokipakuwa mtandaoni zaidi ya huu uandishi.
Hapana bwana, nimeona kuwa nikicheka na kima nitaambulia mabua.
Hivyo natangaza dhamiri yangu ya kuwashtaki hawa jamaa.
Naomba kila mwenye mapenzi mema aniunge mkono kusudi tuikomesha tabia hii sugu kwenye mashirika haya!

Wakuu, nianzie wapi?
Kwa sasa niko hapa Musoma mjini.
Ni mahakamani au kwa msuruhishi yupi?
 
Labda window ako ndio iko very outdated.

Ndio maana imetumia GB nyingi
 
Windows update hua inakula mpaka 6GB na hapa sasa kuna toleo jipya ni wazi kabisa hao jamaa hawajakupiga kabisa kulikua na windows mpya mwezi wa 9 mwaka jana na sasa kuna march ni mzigo wa kutosha mara nyingi hizo ni 4-6GB
 
Hawa jamaa pamoja na wenzao labda ukawashitaki AICC kama inawezekana , ila kama ni huku bado kuna kazi ndefu, siku nne tulizoambiwa ukizitazama sasa zina wiki sijui ya ngapi bado hazijatimia.
 
Watanzania wenzangu, hili ndilo nililolikusudia moyoni mwangu kwa maslahi mapana ya taifa langu.
Hivyo naomba yeyote wa kuniunga mkono.

Mkasa wenyewe uko hivi;
Kiukweli mwezi huu nina shughuri nzito zinazonirazimu kutumia data nyingi.
Hivyo kupitia makampuni husika; nikaona kwamba Tigo wana kifurushi cha GB 30 kwa sh. 35,000 mwezi mzima
Ndiposa nikashawishika, nikakinunua hicho kifurushi leo hii saa 3 asubuhi mnamo tar. 24 April 2021
Kitu cha kwanza nikaamua ku-update window ya PC hii ninayotumia. Kinachoshangaza kazi bado haijaisha, lakini natumiwa ujumbe kuwa eti nimeshatumia GB 3. na mapointi yake kuelekea 4 . Hivi kwa u-slow wa network yao mpaka namaliza ku-update pekee, sizitakuwa zimeisha hizi GB 30 zote?
Yaani sina kitu chochote nilichokipakuwa mtandaoni zaidi ya huu uandishi.
Hapana bwana, nimeona kuwa nikicheka na kima nitaambulia mabua.
Hivyo natangaza dhamiri yangu ya kuwashtaki hawa jamaa.
Naomba kila mwenye mapenzi mema aniunge mkono kusudi tuikomesha tabia hii sugu kwenye mashirika haya!

Wakuu, nianzie wapi?
Kwa sasa niko hapa Musoma mjini.
Ni mahakamani au kwa msuruhishi yupi?
Mimi nimeshawahama hao Tigo ni matapeli kwenye vifurushi vya internet
 
We ni mgeni hapa JF mkuu? Hebu acha ulofa yani katika watu wote umeona wa kumpa tembo watatu na faru mmoja ni hao wafilisti.🤩🤩🤩!

Tafta line ya Zantel upesi kabla sijakuchapa makofi mawili ya kukuchangamsha!
 
Chonde ndugu kilichoniponza ni gb 30, nikaona nimepata kumbe nimepatikana.
We ni mgeni hapa JF mkuu? Hebu acha ulofa yani katika watu wote umeona wa kumpa tembo watatu na faru mmoja ni hao wafilisti.!

Back
Top Bottom