Tigo kifurushi cha university offer mnazingua

Tigo kifurushi cha university offer mnazingua

Status
Not open for further replies.
inshort offer hiyo imeboreshwa kuwa ya students tu....mi niliona zimeanzakupunguzwa nikamute numerudi voda tu na internet nw ialzimika kuunga mara kwa mara....labda nikirudi kusoka Masters ntaifaidi tena.....au nipenmyeze namba ila ya nni yote hayo napiga kazi naendeklea na yangu tu waache wanachuo wafaidi tushamalizaga muda sana wengine
 
Wanajamvi Baada ya Malalamiko ya Mda Mfupi Tgo Hatimaye wamerudisha lile bundle la University offer kwa Code *148*00#
Kisha Utapata Dk 130 GB1 na Sms 15000 ila kule kwa *148*01*20# Leo. Asubuhi nmeliwa 2000 buku jero 1500 ya University offer na 500 ya bundle ya Wiki mb400
 
88699130383dd3180a22f0a3392d3df4.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom