Mi hata sijui kama vocha bado zipo...Jaribu kuweka kwenye Tigo Pesa kisha nunua muda wa maongezi via Tigo Pesa, mambo ya vocha za kukwangua nishaachana nayo miaka 5 iliyopita
Haya lete ushahidi hapa mara moja.Tigo ni WEZI, I mean ni wezi na nikitakiw akutoa ushahidi hapa nitatoa, Tigo ni weziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
watu sijui kwa nini wanajitesaMi hata sijui kama vocha bado zipo...
hamia vodaHata kama, shida ni network yao mchosho, nimekwenda nimefanya kila niwezalo nikiwa chini ya mnara wao sijafanikiwa
hamia voda
Hata mimi nashangaa!Mko mtandao gani?