tigo extreme

Kakati

Senior Member
Apr 11, 2009
167
47
Ndugu zangu, nimejiwekea ka sh 450 kangu kwenye tigo ili nipate 50MB, dk 15 za maongezi na sms 100. Sasa nisaidiwe tafadhali najuaje salio kwa kila moja kati ya hizi huduma nikiwa nimetumia kwa muda kidogo?
 
Angalia salio kwa njia ya kawaida kisha utatumiwa sms kukujulisha salio la kifurushi, muda wa nyongeza uliobaki na salio la sms.
 
salio kwa njia ya kawaida unamaanisha nipige *102#, mbona sipati ujumbe unaosema?
 
Back
Top Bottom