ninauzoefu na tigo imefikia hatua nimekuwa frielence wa kujitegemea , namaba zote mnazosema kwa kweli hazitopokelewa kwa kusuluhisha tatizo lako haraka ni kufika ofisi zohio kwa walio dar. kama upo mbali ingia tigo tanzania facebook taja tatizo lako watakusaidia. kunafomu ya tatizo ukiona una haraka sana andika tatizo lako kwenye wall. ukichemka nitumie tatizo lako kwenye sms 0719332343 nitangalia jinsi ya kukusaidia