Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 56,667
- 30,586
Samahani naomba nieleze wazi hili jambo linaloendelea, kuna tangazo la TIGO ukianza kusikiliza ni zuri sana, linatumia adv kwa wale waliona simu feki.
Tigo inatoa simu MPYA kwa wale wenye simu feki wapeleke ofisini kwao.. baadae wanasema unachotakiwa kufanya unanunua muda wa maongezi wa sh Alf 22 ndio unapewa simu mpya.
Kiuhalisia hii sio bure.. Bure haina masharti na vigezo kuzingatiwa kamwe kama mnatoa semeni wapeleke simu feki mtoe Bure na sio MPAKA wanunue hizo Vocha za 22,000 jaman....
Swala la simu feki ni maumivu sio la kubeza kabisa MTU ameshanunua simu alafu unamwambia atafute tena 22 NA akuachie hio simu yake, si bora akampe mwanae atumie toy.