AiseeeeAcha kuwasimanga tigo mie napenda huduma zao haswa ..
Ziko vzr haswa mpaka sasa nimenunua bandoAiseeee
Me tigo naikubali sana sema siku hiz kuna vifurushi wamevitoaZiko vzr haswa mpaka sasa nimenunua bando
Hili limtandao sijui kwa nini halifungwi....limtandao limejaa wizi tu .....nilinunua mb 300 nikadownload nyimbo sita zenye mb tatu tatu eti wakanambia mb zimeisha .........ni wezi waliokubuhu.....
Tunaotumia data ya vodacom tunafaidi sana
Tigo siwakubali mpaka kesho. Mm natumia vodacom na halotel bundle la internet usiku basi. Tigo wezi ukiacha hata 500 wanabeba ukiwapigia watakuambia ulijiunga na hadithi na cha ajabu hadithi hutumiwiAcha kuwasimanga tigo mie napenda huduma zao haswa ..
Km upo Dar/Pwani chukua hii.Mkuu, naomba unitajie kifurushi kilicho poa cha voda kwa wiki kilicho na mb na dakika za mitandao mingine napiga ngapi ngapi na napata dakika na mb ngapi pia...?
Thanks.
Tigo mtandao wa simu au unamaanisha tigo gani?Ziko vzr haswa mpaka sasa nimenunua bando
Acha kuwasimanga tigo mie napenda huduma zao haswa ..