tido muhando ndani ya al jazeera | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

tido muhando ndani ya al jazeera

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Kabakabana, Aug 9, 2011.

 1. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #1
  Aug 9, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  kuna tetesi kwamba tido mhando mkurugenzi wa tbc sasa anafanya kazi al jazeera je ni za kweli!
   
 2. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #2
  Aug 9, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Kabakabana! Yaelekea umetoka usingizini! Tembea tembea bila shaka urudi.
   
 3. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #3
  Aug 9, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  ni kweli lakini nishaamka na futari teari vipi ni kweli au?hujanisaidia bado
   
 4. B

  Bwana bonny Member

  #4
  Aug 9, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  hausomi mtandao huu mara kwa mara. Amekanusha taarifa hizo. Angalia thread za siku 2 zilizopita au michuzi blog
   
 5. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #5
  Aug 9, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Ndio ni za Kweli, Je unajengine la Kuuliza? au unataka kujua Kikwete bado ni Rais wa Tanzania?
   
Loading...